Yanga leo mmeitosa timu yenu hapa JF

Ila mna tabu nyie. Kwani mkianzisha Watani zetu kuna ubaya gani?
 
nasikia walifurahia SARE ya simba mkuu, kwa nini hizi sare nne wanaziona chungu? mi naona waendelee na wembe ule ule, make sare kwa simba waliona ni ushindi, na hizi pia ni kama ushindi kwa hiyo waendelee kufurahi tu.
Wazee wa historia,watu tunaenda mbele nyie mnarudi nyuma. Hiyo slogan yenu ya nyuma mwiko ina maana gani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…