G4rpolitics
JF-Expert Member
- Jul 29, 2015
- 4,369
- 5,248
- Thread starter
-
- #81
Shadeeya naomba ukanichagulie nzuri
Hahahaaa!! Ujue kuna maisha nje ya JF Mkuu.shadeeya ivi jana siku nzima ulishindia wapi? au ulishindia sare make hatukukuona
humu kama kawaida yako, tulikosa uhondo wa nyuzi zako za yanga.
Sent using Jamii Forums mobile app
Afu nasikia marefa wamelipwa posho zao na Yanga toka hapo hawajashinda tena! Kuna sababu ya kuchunguza iloTAKUKURU chunguzeni nani aliwahaidi 14m Coastal Union..walivyozikosa points uwanjani wakawaambia wakate rufaa jina la Eric hawalioni kwenye instagram list..:Wanayanga mlioko kwenye vitengo fanyieni kazi hii issue
Kuna kosa gani mtu kuiaid timu pesa kama wata shinda mechi??TAKUKURU chunguzeni nani aliwahaidi 14m Coastal Union..walivyozikosa points uwanjani wakawaambia wakate rufaa jina la Eric hawalioni kwenye instagram list..:Wanayanga mlioko kwenye vitengo fanyieni kazi hii issue
Kuna kosa gani mtu kuiaid timu pesa kama wata shinda mechi??
Mbona GSM huwa wanafanya hivyo??
Mbona malanyingi inatokea kwenye mpira iyo sio rushwa
Ata gem ya simba na polis yanga Wali weka mzigo simba akifungwa au sale 10 /5m
Sent using Jamii Forums mobile app