Yanga leo mmeitosa timu yenu hapa JF

Yanga leo mmeitosa timu yenu hapa JF

TAKUKURU chunguzeni nani aliwahaidi 14m Coastal Union..walivyozikosa points uwanjani wakawaambia wakate rufaa jina la Eric hawalioni kwenye instagram list..:Wanayanga mlioko kwenye vitengo fanyieni kazi hii issue
 
Afu nasikia marefa wamelipwa posho zao na Yanga toka hapo hawajashinda tena! Kuna sababu ya kuchunguza ilo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
TAKUKURU chunguzeni nani aliwahaidi 14m Coastal Union..walivyozikosa points uwanjani wakawaambia wakate rufaa jina la Eric hawalioni kwenye instagram list..:Wanayanga mlioko kwenye vitengo fanyieni kazi hii issue
Kuna kosa gani mtu kuiaid timu pesa kama wata shinda mechi??

Mbona GSM huwa wanafanya hivyo??

Mbona malanyingi inatokea kwenye mpira iyo sio rushwa

Ata gem ya simba na polis yanga Wali weka mzigo simba akifungwa au sale 10 /5m

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom