G4rpolitics
JF-Expert Member
- Jul 29, 2015
- 4,369
- 5,248
- Thread starter
- #41
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
YANGA akili kubwa, kuna uzi wa Yanga hapa ndio tunapeana update, mambo ya kuanzisha uzi kila mechi ni ushamba
Nashangaa wachezaji wa Yanga kugomea kuongelea mchezo wakat uwezo wao ndio mwisho kwa coast union.Hii timu inamdomo sana ila mpira hamna zaidi ya kufuga wapiga ngeta
Sent using Jamii Forums mobile app
Mechi ya Yanga na Simba ni derby, wanapokutana takwimu hazileti maana kubwa kama Simba yenye ubora inapocheza na timu nyinginezo kwenye ligi.
Kwa hiyo difference inaonyesha jinsi gani Yanga ilivyo mbovusimba 62
yanga 41+(2)= 47
62-47= 15
• poleni sana yanga
yanga inahitaji mabadiliko tena makubwa, kuanzia strikers,midfilder na mabeki pia.
Hiyo hesabu yako mkuu mpaka washinde mechi mbili ndo itakuwa hivyo... lkn vinginevyo ni point 15 na zaidi gape hapo.. nimepita kuweka sawa🏃♂️simba 62
yanga 41+(2)= 47
62-47= 15
• poleni sana yanga
Mkuu nimecheka sana huyu jamaa anavyoshangilia hapo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji16][emoji16][emoji16] View attachment 1367279
Kakalishwa chini bila kupenda![emoji16][emoji16][emoji16]Mkuu nimecheka sana huyu jamaa anavyoshangilia hapo [emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Anatoka striker anaingia beki,Yanga hii ina vituko