Yanga leo Ushindi tunapata wa Kishindo hasa

Minjingu Jingu

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2023
Posts
1,072
Reaction score
2,384
Hawa watu lazima watupie. Piga ua garagaza.
1. Dube
2. Chama
3. Aziz Ki

Kati ya hao au wote lazima watupie. Ndo mpango wa team tayari hata team pinzani wanajua. Kocha mchezaji wetu kipenzi. Fred Felix Minziro anajua hili.

Hawezi izuia Yanga. Haitatokea.gari limewaka. Goal za chini sana ni mbili. Chini sana. But hawa tunaweza wapiga 5 na zaidi hii leo.
 
Muhimu kwa Wananchi ni ushindi tu huku wakimtafuta mwizi wao kimya kimya.
 
Ndo mpango wa team tayari hata team pinzani wanajua. Kocha mchezaji wetu kipenzi. Fred Felix Minziro anajua hili.

Hawezi izuia Yanga. Haitatokea.gari limewaka. Goal za chini sana ni mbili. Chini sana. But hawa tunaweza wapiga 5 na zaidi hii leo.

Makolo mmeanza maneno yenu, Yanga ikishinda mipango, ikifungwa ni mbovu.
 
Hawa watu lazima watupie. Piga ua garagaza.
1. Dube
2. Chama
3. Aziz Ki

Kati ya hao au wote lazima watupie. Ndo mpango wa team tayari hata team pinzani wanajua. Kocha mchezaji wetu kipenzi. Fred Felix Minziro anajua hili.

Hawezi izuia Yanga. Haitatokea.gari limewaka. Goal za chini sana ni mbili. Chini sana. But hawa tunaweza wapiga 5 na zaidi hii leo.
Kwe mkeka wa Sikukuu kabaki Yanga tu,
Mungu saidia ashinde.
Aameen.
🙏🏾
 
Makolo mmeanza maneno yenu, Yanga ikishinda mipango, ikifungwa ni mbovu.
Wewe akili sijui ulipotezea wapi. Wakati wenzio wanapewa wewe ilikuwa unanyonya kidole. Kuna suala la mipango hapo umeliona?au hujui kusoma?
 
Back
Top Bottom