Minjingu Jingu
JF-Expert Member
- Nov 2, 2023
- 1,072
- 2,384
Ndo mpango wa team tayari hata team pinzani wanajua. Kocha mchezaji wetu kipenzi. Fred Felix Minziro anajua hili.
Hawezi izuia Yanga. Haitatokea.gari limewaka. Goal za chini sana ni mbili. Chini sana. But hawa tunaweza wapiga 5 na zaidi hii leo.
Kwe mkeka wa Sikukuu kabaki Yanga tu,Hawa watu lazima watupie. Piga ua garagaza.
1. Dube
2. Chama
3. Aziz Ki
Kati ya hao au wote lazima watupie. Ndo mpango wa team tayari hata team pinzani wanajua. Kocha mchezaji wetu kipenzi. Fred Felix Minziro anajua hili.
Hawezi izuia Yanga. Haitatokea.gari limewaka. Goal za chini sana ni mbili. Chini sana. But hawa tunaweza wapiga 5 na zaidi hii leo.
Nimempa asipate gor sijui nitakuwa mchawiKwe mkeka wa Sikukuu kabaki Yanga tu,
Mungu saidia ashinde.
Aameen.
๐๐พ
Duh,Nimempa asipate gor sijui nitakuwa mchawi
Wewe akili sijui ulipotezea wapi. Wakati wenzio wanapewa wewe ilikuwa unanyonya kidole. Kuna suala la mipango hapo umeliona?au hujui kusoma?Makolo mmeanza maneno yenu, Yanga ikishinda mipango, ikifungwa ni mbovu.