Yanga leo watafungwa 4-0

Duhhh we mchawi yametimia kweli umepewa mikoba ya shkh Yahya
 
Jamani Nina swali hivi Dar young African kiswahili chake ndio Yanga? Mana nawaza hata sielew hili jina yanga limepitikanaje
 
Hawa Ndiyo Huwaaminisha WASHABIKI WAO Kuwa eti Wao Ni Wakimataifa πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Kila wanakotia maguu ni kichapo tu. Raha yao kubwa kwao eti ni kupanda ndege tu basi.
 
Hongera kwa utabiri, sasa nitaanza kukutumia kwenye ku-bet au vipi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…