escrow one
JF-Expert Member
- Nov 29, 2014
- 1,473
- 2,868
hivi African Lyon si wamepanda daraja?? waje wabebe kipa wao huku
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watu Na nyota zao shombe shombe weweAcha roho mbaya, Usimba wako usikuendeshe namna hii,
Matola vp tena, ni wewe au?Usinizowee fala wewe
Sijui unalalaje saaa hiziDua la kuku halimpati mwewe!
Mkuu umetisha sana.Ngoja nifanye mipango ya kukusajili kwenye ule uzi wa wazee wakutia mzigo/mikeka.Huu ni utabiri wangu unaweza kubashiri pia!
Asiyekubali kushindwa si mshindani, japo inaniuma sina budi kukupongeza kwa utabiri wako mkuu! Ila tafadhali bwana mechi ya marudio tutabirie vizuri ili wenzio tupate kufuta machozi japo kidogo[emoji848][emoji848][emoji848]Huu ni utabiri wangu unaweza kubashiri pia!
Waswahili wana msemo wa awike, asiwike kutakucha tu.... Hiyo ndiyo iliyonikuta, japo nilikuwa na machungu nimelalaSijui unalalaje saaa hizi
Sikutegemea ushindi lakini nilitarajia suluhu au tufungwe angalau magoli yasiyozidi 2Mkuu ulitegemea kweli ushindi wakati vile vichwa vyote vya Yanga havipo,ajibu,yondani,kamusoko,tshimbi,na chirwa
Kijana Mwafrika wa DarJamani Nina swali hivi Dar young African kiswahili chake ndio Yanga? Mana nawaza hata sielew hili jina yanga limepitikanaje