Yanga leo watafungwa 4-0

Yanga leo watafungwa 4-0

Hawa Ndiyo Huwaaminisha WASHABIKI WAO Kuwa eti Wao Ni Wakimataifa 😀😀😀😀
Wale majamaa wamecheza mpira wa kawaida,ukiangalia hata hawajaforce wamecheza kwa uzoefu tu na wametumia kiwango cha kawaida ila kwa yanga ilikuwa siyo level yao
 
Kwani gemu imeishaje?? Mimi dk ya 93 niliacha kuangalia gemu ikiwa 3-0, waliongeza bao moja la kulalia au?
 
Wanachofukuzia Yanga ni misosi ya kwenye ndege tu, wakiwa ligi kuu wanakula mihogo we angalia koozi la Yondani gumu kama mkate wa juzi ulioachwa wazi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Wanachofukuzia Yanga ni misosi ya kwenye ndege tu, wakiwa ligi kuu wanakula mihogo we angalia koozi la Yondani gumu kama mkate wa juzi ulioachwa wazi
hahah sentensi yako ulivoiunda unachochea watu kutapika, hayo mambo ya koozi ni kicjefuchefu aisee
 
Yanga hawana uzoefu na mechi za kimataifa, bora Azam FC
 
Et nkomola!!!
Ngoja wakina Batambuze wafuzu waende kufanya vzr msimu ujao.
Yanga walishakata tamaa,walikuwa na uwezo wa kutoa hata dro ya ziro au kufungwa goal moja
 
Back
Top Bottom