Wale majamaa wamecheza mpira wa kawaida,ukiangalia hata hawajaforce wamecheza kwa uzoefu tu na wametumia kiwango cha kawaida ila kwa yanga ilikuwa siyo level yaoHawa Ndiyo Huwaaminisha WASHABIKI WAO Kuwa eti Wao Ni Wakimataifa 😀😀😀😀
Duuh mtabiri umetishaNdo ushatimia
tunajipanga, tutanyanyuka tena na kusonga mbele.Hawa Ndiyo Huwaaminisha WASHABIKI WAO Kuwa eti Wao Ni Wakimataifa 😀😀😀😀
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Wanachofukuzia Yanga ni misosi ya kwenye ndege tu, wakiwa ligi kuu wanakula mihogo we angalia koozi la Yondani gumu kama mkate wa juzi ulioachwa wazi
Et nkomola!!!Mkuu isingekuwa rahisi yanga kupata hata dro au goli kwa forward ile
hahah sentensi yako ulivoiunda unachochea watu kutapika, hayo mambo ya koozi ni kicjefuchefu aiseeWanachofukuzia Yanga ni misosi ya kwenye ndege tu, wakiwa ligi kuu wanakula mihogo we angalia koozi la Yondani gumu kama mkate wa juzi ulioachwa wazi
yametimia mkuu ni four o'clock full timeHuu ni utabiri wangu unaweza kubashiri pia!
hao wenye uzoefu wameishia wap?Yanga hawana uzoefu na mechi za kimataifa, bora Azam FC