Mkuu habari za kuwa likizo. Naona mna mzigo wa 4G ambao hautaki kushuka kichwani [emoji196] [emoji196] [emoji196] [emoji196]Hakuna kitu cha ajabu.
Recreativo LIBOLO walishampa mtu hizo nne.
Timu zetu za Bongo hizi.
Hahaaaaa. KabisaaaaaHakuna jipya hapaView attachment 768834
Ha ha ha.. Pale unapofukua makaburi ili kuona kama unaweza kupoza kipigo cha mbwa koko cha jana.. [emoji196] [emoji196] [emoji196] [emoji196]Hakuna jipya hapaView attachment 768834
VIJANA(WANAUME) WA DAR!!.Jamani Nina swali hivi Dar young African kiswahili chake ndio Yanga? Mana nawaza hata sielew hili jina yanga limepitikanaje
hahahahaha kweli halijampata mweweDua la kuku halimpati mwewe!
Bado comment yako iko valid?Acha roho mbaya, Usimba wako usikuendeshe namna hii,
Nyie mlishusha wa LIBOLO?Mkuu habari za kuwa likizo. Naona mna mzigo wa 4G ambao hautaki kushuka kichwani [emoji196] [emoji196] [emoji196] [emoji196]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]VIJANA(WANAUME) WA DAR!!.
[emoji2] [emoji2] [emoji2] Naamini nitakuwa nimetafsiri vizr Boss!!.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kwa hiyo yanga ni wanaume wa Daslam[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji2] [emoji2] [emoji2] Naamini nitakuwa nimetafsiri vizr Boss!!.
Hahaha Aman Mkuu!!.Kwa hiyo yanga ni wanaume wa Daslam[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji1]nipe no za mganga wako aisee. naweza jikuta narudsha had hela za esrow hivi hivi