Yanga leo watafungwa 4-0

Yanga leo watafungwa 4-0

Hakuna kitu cha ajabu.
Recreativo LIBOLO walishampa mtu hizo nne.
Timu zetu za Bongo hizi.
 
Hakuna kitu cha ajabu.
Recreativo LIBOLO walishampa mtu hizo nne.
Timu zetu za Bongo hizi.
Mkuu habari za kuwa likizo. Naona mna mzigo wa 4G ambao hautaki kushuka kichwani [emoji196] [emoji196] [emoji196] [emoji196]
 
Nilikua nasikia tu kua Yanga kwenye mashindano ya kimataifa wanaishia round ya pili tu.
Ngoja niendelee kushuhudia kama hii kauli ya kweli.
Mana alianza Club bingwa Africa katolewa round ya pili, Kaja shirikisho round ya kwanza kapita. Sasa nasubri kama round ya pili atatolewa au ata waprove watu wrong!
 
Nimefurahi sana. Huu uzi nilikuwa sijauona. Sijui ningeuona siku hiyo ingekuwaje hasa baada ya 4G
 
Nimefurahi sana. Huu uzi nilikuwa sijauona. Sijui ningeuona siku hiyo ingekuwaje hasa baada ya 4G
Mkuu angalia na huo uzi wa prison na yanga leo nilitabiri pia prison atashinda goli moja na ndo hilo hilo
 
Back
Top Bottom