Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ushakuwa sheikh Yahaya mara hiiHuu ni utabiri wangu unaweza kubashiri pia!
HahaaaaaaaaaNimerithi mikoba yake
Hata mi ningependa ishinde kwa vile inatuwakilisha lakini uwezo wako mdogo,hawana Yondani,Kamusoko,Chirwa,Ajibu,Tambwe unategemea nini hapoIngependeza saaana yanga kushinda. Tatizo uwezo "hawana".
Matamanio bila juhudi,maarifa n.a. mbinu ni bure!
Nawatakia wapate wanachostahili.
Ningewatizama lakini kuna "big match"siwezi kuangalia chandimu!
Najua unasumbuliwa na wivu tu huna lolote [emoji1] [emoji1] [emoji1]Leo inampata