YANGA , MANARA NI WASHINDI, KUENDELEA NA KAZI YA USEMAJI KAMA P.R.O CONSULTANT

njaakalihatari

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2019
Posts
4,081
Reaction score
8,671
Ifike wakati tuseme Yanga ni zawadi iliyoshushwa na Mungu kwa soka la nchi hii, kuna vi team vingine vijifunze jinsi ya kuendesha soka kwa weledi jamani

Wapiga majungu mlichooonga sana eti leo hatakuwa MC si mmeona kashika mic kama MC wa kukodiwa wa kujitegemea?

Yaani ulitarajia viongozi vijana ma genius kama Hersi , Arafat, Simon wasijue namna ya kumtumia manara?

Arafat ni mwajiriwa wa serikali anajua jinsi kutii mamlaka ilivyo muhimu , lakini pia anajua scenario nyingine ni haki ya kibinadamu ya mtu, mlitaka MC wa kujitegemea asihusike leo?

HAJJ MANARA KUANZIA WEEK IJAYO ATAHUSIKA KILA PRESS CONFERENCE YA YANGA NA SIGNATURE YAKE ITAKUWEPO KWENYE KILA PRESS RELEASE YA CLUB KAMA PUBLIC RELATION OFFICER CONSULTANT WA KUJITEGEMEA

AMEAJIRIWA KWENYE FIRM BINAFSI AMBAYO YANGA IMEINGIA NAO MKATABA ,HIVYO ATAHUSIKA SANA, NASEMA HIVI KARIA ULIJIFANYA MTOTO WA MJINI SASA HERSI, ARAFAT, SIMON, MANARA WAMEKUONYESHA WEWE NI KOLO TU
 
Naona ana hamu ya kuongezewa adhabu kwa sababu yeye amefungiwa kujihusisha na mambo ya soka ndani na nje ya nchi haijalishi kama anafanya kama afisa wa yanga au la kwahiyo kwa kitendo chake hicho cha kujifanya MC kwenye mambo ya soka ni dhahiri anakwenda kinyume na adhabu aliyopewa,kama anataka kufanya kazi ushehereshaji basi anaweza kufanya shughuli hiyo nje ya soka.
Hao washauri wake wamempotosha na ategemee rungu la TFF kupitia kamati husika likimuongezea adhabu.
 
Naona ana hamu ya kuongezewa adhabu kwa yeye amefungiwa kujihusisha na mambo ya soka ndani na nje ya nchi haijalishi kama anafanya kama afisa wa yanga au la kwahiyo kwa kitendo chake hicho cha kujifanya MC kwenye mambo ya soka ni dhahiri anakwenda kinyume na adhabu aliyopewa,kama anataka kufanya kazi ushehereshaji basi anaweza kufanya shughuli hiyo nje ya soka.
Hao washauri wake wamempotosha na ategemee rungu la TFF kupitia kamati husika likimuongezea adhabu.
hiyo adhabu haitwahusu yanga? nchi haitakalika.....hata usemaji wa team atendelea nao kupitia public relation firm ya kujitegemea na hakuna kitu Tff watafanya, Hersi na arafat ni ma genius sana naiona yanga ikifika mbali saanaa kwa maono yao
 
Unachekesha sana yaani nchi isikalike kwa sababu ya kuadhibiwa yanga! Hapo hamna u-genius wowote mimi nawachukulia kama vilaza tu,elewa kwamba Manara hakufungiwa kujihusisha na soka kama afisa wa Yangu bali amefungiwa kujihusisha na soka kwa namna yoyote ndani na nje ya nchi kwa hivyo haijalishi anajihusisha kwa namna gani.
 
leo ni intro tu bwashee, week ijayo anaendelea na usemaji kama consultant wa public relation
 
Manara anawekewa mitego anajaa mwenyewe kwenye 18,amejazwa ujinga aseme yeye kama mc wa kukodiwa,masikini ajijui kama anajiingiza kwenye mtego[emoji134]
 
Ngoja kwanza tumalizane na utopolo leo ..
Huyo manara kuku wetu
 
Naona ana hamu ya kuongezewa adhabu kwa sababu yeye amefungiwa kujihusisha na mambo ya soka ndani na nje ya nchi haijalishi kama anafanya kama afisa wa yanga au la kwahiyo kwa kitendo chake hicho cha kujifanya MC kwenye mambo ya soka ni dhahiri anakwenda kinyume na adhabu aliyopewa,kama anataka kufanya kazi ushehereshaji basi anaweza kufanya shughuli hiyo nje ya soka.
Hao washauri wake wamempotosha na ategemee rungu la TFF kupitia kamati husika likimuongezea adhabu.
Wakimuongezea adhabu anakwenda mahakamani.
Ili FIFA ifanye yao wakose wote.
Wakimwaga mboga jamaa atamwaga ugali. Kama mbwai naiwe mbwai.
 
Ila mnajua kurukaruka, adhabu inaanza baada ya kupewa nakala, je nakala ameshapata ili adhabu ianze mbona mnarukaruka hapa!! Porojo nyingi, adhabu inaanza vipi wakati nakala hajapata! Je nauliza tena nakala yake ameshapewa!!!
 
Hivi unaelewa kufungiwa kutojihusisha na maswala ya soka ndani na nje ya nchi, wengine wanafungiwa hata kwenda uwanjani kuangalia mpira.

sasa harusi ni soka ?

vinyesi fc msifanye kila mtu hamnazo kama alivyo wambia manara.
 
Wakimuongezea adhabu anakwenda mahakamani.
Ili FIFA ifanye yao wakose wote.
Wakimwaga mboga jamaa atamwaga ugali. Kama mbwai naiwe mbwai.
Unafikiria Fifa wanaakili kama yako au siyo...
 
Back
Top Bottom