Mm yanga mwenzio ila kiukweli sijaifurahia hii droo hao jamaa siwajui kihivyo Iila nina wasiwasi itakuwa vibonde kweli ingekuwa timu ya maana ningeshaisikia kabla ya leo caf wanataka kutupa tabu tu mtaani!Ud Songo ni vibonde eeeh! Ngoja muda ufike ili ukweli ujulikane. Isitoshe Yanga ya wakati ule ni tofauti kabisa na hii ya sasa. Yanga ya sasa ni moto wa kuotea mbali.
Mm yanga mwenzio ila kiukweli sijaifurahia hii droo hao jamaa siwajui kihivyo Iila nina wasiwasi itakuwa vibonde kweli ingekuwa timu ya maana ningeshaisikia kabla ya leo caf wanataka kutupa tabu tu mtaani!
Hiyo matatani inatoka wapi wakati unasema tena itacheza na township rollers? ama hiyo mechi ni ya kirafiki siyo ya CCLClub ya Yanga imeingia haitiani baada ya kupangwa na Township Rollers ya Botswana kwenye michuano ya CAF Champions League hatua ya awali.
Mara ya mwisho team hizi kukutana Yanga walifungwa goli baada yakupigiewa pasi zaidi ya mia bila kugusa mpira.Hivyo Yanga wakifanikiwa kupita round ya awali itawasaidia kwenda Confedereshen cup endapo watatolewe kwenye hatua ya kwanza ambapo watakutana na mshindi kati ya Zesco na Green Mambas
Huku machampion wa Tanzania Simba SC wao wakikutana na vibonde kutoka Mozambique UD Songo
Tujifariji wote Mkuu. Sababu ninapoanzia ndipo na wewe unapoanzia.Jifariji mama
Hii miandiko ya Facebook usilete Hulu JF.Club ya Yanga imeingia haitiani baada ya kupangwa na Township Rollers ya Botswana kwenye michuano ya CAF Champions League hatua ya awali.
Mara ya mwisho team hizi kukutana Yanga walifungwa goli baada yakupigiewa pasi zaidi ya mia bila kugusa mpira.Hivyo Yanga wakifanikiwa kupita round ya awali itawasaidia kwenda Confedereshen cup endapo watatolewe kwenye hatua ya kwanza ambapo watakutana na mshindi kati ya Zesco na Green Mambas
Huku machampion wa Tanzania Simba SC wao wakikutana na vibonde kutoka Mozambique UD Songo
Nenda kwenye Press Conference ya Mzee Hamisi Kilomoni kesho. Atatema cheche.kibaya zaidi wachzaji wazoefu akina Yondani, Abdul na Dante hawahudhulii mazoezi kwa sababu ya kutokulipwa mishahara yao toka msimu uliopita, wanapigwa viswahili tu na wako hoi kwa njaa