Yanga matatani kucheza mechi za kimataifa

Kitokoo

Member
Joined
Jul 3, 2019
Posts
52
Reaction score
135
Club ya Yanga imeingia haitiani baada ya kupangwa na Township Rollers ya Botswana kwenye michuano ya CAF Champions League hatua ya awali.

Mara ya mwisho team hizi kukutana Yanga walifungwa goli baada yakupigiewa pasi zaidi ya mia bila kugusa mpira.Hivyo Yanga wakifanikiwa kupita round ya awali itawasaidia kwenda Confedereshen cup endapo watatolewe kwenye hatua ya kwanza ambapo watakutana na mshindi kati ya Zesco na Green Mambas

Huku machampion wa Tanzania Simba SC wao wakikutana na vibonde kutoka Mozambique UD Songo
 
Ud Songo ni vibonde eeeh! Ngoja muda ufike ili ukweli ujulikane. Isitoshe Yanga ya wakati ule ni tofauti kabisa na hii ya sasa. Yanga ya sasa ni moto wa kuotea mbali.

Kwa Simba Lunyasi hao Songo ni vibonde wanakufa nnje ndani
 
Mambo hayo
tapatalk_1563730806949.jpeg
 
Ud Songo ni vibonde eeeh! Ngoja muda ufike ili ukweli ujulikane. Isitoshe Yanga ya wakati ule ni tofauti kabisa na hii ya sasa. Yanga ya sasa ni moto wa kuotea mbali.
Mm yanga mwenzio ila kiukweli sijaifurahia hii droo hao jamaa siwajui kihivyo Iila nina wasiwasi itakuwa vibonde kweli ingekuwa timu ya maana ningeshaisikia kabla ya leo caf wanataka kutupa tabu tu mtaani!
 
Ila mna tabu nyieee. Niseme tu mjipange sababu mwisho wa siku msije nyie ndio mkabaki sisi tukasonga mbele. Na pia yakupasa ujue historia huwa haichezi mpira.

"DAIMA MBELE NYUMA MWIKO"

Jifariji mama
 
Mm yanga mwenzio ila kiukweli sijaifurahia hii droo hao jamaa siwajui kihivyo Iila nina wasiwasi itakuwa vibonde kweli ingekuwa timu ya maana ningeshaisikia kabla ya leo caf wanataka kutupa tabu tu mtaani!

Simba alikua bingwa hivyo ni lazma akutane na team dhaifu
 
Club ya Yanga imeingia haitiani baada ya kupangwa na Township Rollers ya Botswana kwenye michuano ya CAF Champions League hatua ya awali.

Mara ya mwisho team hizi kukutana Yanga walifungwa goli baada yakupigiewa pasi zaidi ya mia bila kugusa mpira.Hivyo Yanga wakifanikiwa kupita round ya awali itawasaidia kwenda Confedereshen cup endapo watatolewe kwenye hatua ya kwanza ambapo watakutana na mshindi kati ya Zesco na Green Mambas

Huku machampion wa Tanzania Simba SC wao wakikutana na vibonde kutoka Mozambique UD Songo
Hiyo matatani inatoka wapi wakati unasema tena itacheza na township rollers? ama hiyo mechi ni ya kirafiki siyo ya CCL
 
Club ya Yanga imeingia haitiani baada ya kupangwa na Township Rollers ya Botswana kwenye michuano ya CAF Champions League hatua ya awali.

Mara ya mwisho team hizi kukutana Yanga walifungwa goli baada yakupigiewa pasi zaidi ya mia bila kugusa mpira.Hivyo Yanga wakifanikiwa kupita round ya awali itawasaidia kwenda Confedereshen cup endapo watatolewe kwenye hatua ya kwanza ambapo watakutana na mshindi kati ya Zesco na Green Mambas

Huku machampion wa Tanzania Simba SC wao wakikutana na vibonde kutoka Mozambique UD Songo
Hii miandiko ya Facebook usilete Hulu JF.
 
kibaya zaidi wachzaji wazoefu akina Yondani, Abdul na Dante hawahudhulii mazoezi kwa sababu ya kutokulipwa mishahara yao toka msimu uliopita, wanapigwa viswahili tu na wako hoi kwa njaa
 
Endelea kupiga domo badala kuhangaikia shida zenu.

Mnakaribishwa block 41 kesho
 
kibaya zaidi wachzaji wazoefu akina Yondani, Abdul na Dante hawahudhulii mazoezi kwa sababu ya kutokulipwa mishahara yao toka msimu uliopita, wanapigwa viswahili tu na wako hoi kwa njaa
Nenda kwenye Press Conference ya Mzee Hamisi Kilomoni kesho. Atatema cheche.
 
Back
Top Bottom