Kitokoo
Member
- Jul 3, 2019
- 52
- 135
Club ya Yanga imeingia haitiani baada ya kupangwa na Township Rollers ya Botswana kwenye michuano ya CAF Champions League hatua ya awali.
Mara ya mwisho team hizi kukutana Yanga walifungwa goli baada yakupigiewa pasi zaidi ya mia bila kugusa mpira.Hivyo Yanga wakifanikiwa kupita round ya awali itawasaidia kwenda Confedereshen cup endapo watatolewe kwenye hatua ya kwanza ambapo watakutana na mshindi kati ya Zesco na Green Mambas
Huku machampion wa Tanzania Simba SC wao wakikutana na vibonde kutoka Mozambique UD Songo