Yanga mbona tunapigwa vita kiasi hiki?

Yanga mbona tunapigwa vita kiasi hiki?

Kosa ni kuongoza ligi au ni nini? Mechi zetu zimekuwa zikifuatiliwa kwa ukaribu na kila mdau wa soka na wengi wao wanapenda klabu itetereke. kila timu ikicheza na Yanga wanacheza kufa kupona tofauti na hata timu hizi zikicheza na simba! Waamuzi nao wanakua wanajitahidi Yanga isishinde kwa kila namna. Kinachonipa tumaini ni kuwa klabu yetu bado ndio klabu bora hapa Tanzania tusiotishika na yeyote na tukiwa klabu pekee yenye uhakika wa kumfunga simba anayejisifia kumfunga Al Ahly. Wananchi wenzangu tutembee kifua mbele tuko vizuri tujipe muda kidogo benchi lifanye majukumu yake tukumbuke bado timu haijapoteza mchezo hadi leo
1614774407813.png
 
Kosa ni kuongoza ligi au ni nini? Mechi zetu zimekuwa zikifuatiliwa kwa ukaribu na kila mdau wa soka na wengi wao wanapenda klabu itetereke. kila timu ikicheza na Yanga wanacheza kufa kupona tofauti na hata timu hizi zikicheza na simba! Waamuzi nao wanakua wanajitahidi Yanga isishinde kwa kila namna.

Kinachonipa tumaini ni kuwa klabu yetu bado ndio klabu bora hapa Tanzania tusiotishika na yeyote na tukiwa klabu pekee yenye uhakika wa kumfunga simba anayejisifia kumfunga Al Ahly.

Wananchi wenzangu tutembee kifua mbele tuko vizuri tujipe muda kidogo benchi lifanye majukumu yake tukumbuke bado timu haijapoteza mchezo hadi leo
Jipeni moyo..kwa wachezaj gani? Kalinyo na sarpong?
 
Nadhani mmeiona kagera sugar iliyotukazia vibaya siku ile leo ikifa goli mbili hata kabla ya dkt 30 !na azam
Hakika Yanga tunakamiwa sana
 
Ni kwaresma samahani, ila we jamaa unajitia kidole afu unanusa.
 
Kosa ni kuongoza ligi au ni nini? Mechi zetu zimekuwa zikifuatiliwa kwa ukaribu na kila mdau wa soka na wengi wao wanapenda klabu itetereke. kila timu ikicheza na Yanga wanacheza kufa kupona tofauti na hata timu hizi zikicheza na simba! Waamuzi nao wanakua wanajitahidi Yanga isishinde kwa kila namna.

Kinachonipa tumaini ni kuwa klabu yetu bado ndio klabu bora hapa Tanzania tusiotishika na yeyote na tukiwa klabu pekee yenye uhakika wa kumfunga simba anayejisifia kumfunga Al Ahly.

Wananchi wenzangu tutembee kifua mbele tuko vizuri tujipe muda kidogo benchi lifanye majukumu yake tukumbuke bado timu haijapoteza mchezo hadi leo
Vidimbwi mumesha jiishia Nani ahangaike na nyie? Kwisha habari yenu mtaishia kulalamika tu lakini Ubingwa hamchukui ng'o! !!!!!!
 
Kosa ni kuongoza ligi au ni nini? Mechi zetu zimekuwa zikifuatiliwa kwa ukaribu na kila mdau wa soka na wengi wao wanapenda klabu itetereke. kila timu ikicheza na Yanga wanacheza kufa kupona tofauti na hata timu hizi zikicheza na simba! Waamuzi nao wanakua wanajitahidi Yanga isishinde kwa kila namna.

Kinachonipa tumaini ni kuwa klabu yetu bado ndio klabu bora hapa Tanzania tusiotishika na yeyote na tukiwa klabu pekee yenye uhakika wa kumfunga simba anayejisifia kumfunga Al Ahly.

Wananchi wenzangu tutembee kifua mbele tuko vizuri tujipe muda kidogo benchi lifanye majukumu yake tukumbuke bado timu haijapoteza mchezo hadi leo
Mlituanza na Sisi sasa ndiyo tunamalizia.
 
Vioingozi wa Yanga badilikeni wenzenu wameunda kikundi cha kuihujumu Yanga mpaka kwenye mitandao utakuta kama Leo Yanga inacheza na Coastal wanaishambulia Yanga kwenye mitandao ni zaidi ya robo tatu hawa wote wanaikejeli Yangawhere are you Yanga Fans
 
JK aliwaambia mkamuona siyo
 
Back
Top Bottom