1kush africa
JF-Expert Member
- Dec 13, 2016
- 9,552
- 13,090
Poleni sanaVioingozi wa Yanga badilikeni wenzenu wameunda kikundi cha kuihujumu Yanga mpaka kwenye mitandao utakuta kama Leo Yanga inacheza na Coastal wanaishambulia Yanga kwenye mitandao ni zaidi ya robo tatu hawa wote wanaikejeli Yangawhere are you Yanga Fans