Yanga mbona tunapigwa vita kiasi hiki?

Jipeni moyo..kwa wachezaj gani? Kalinyo na sarpong?
 
Nadhani mmeiona kagera sugar iliyotukazia vibaya siku ile leo ikifa goli mbili hata kabla ya dkt 30 !na azam
Hakika Yanga tunakamiwa sana
 
Ni kwaresma samahani, ila we jamaa unajitia kidole afu unanusa.
 
Vidimbwi mumesha jiishia Nani ahangaike na nyie? Kwisha habari yenu mtaishia kulalamika tu lakini Ubingwa hamchukui ng'o! !!!!!!
 
Mlituanza na Sisi sasa ndiyo tunamalizia.
 
Vioingozi wa Yanga badilikeni wenzenu wameunda kikundi cha kuihujumu Yanga mpaka kwenye mitandao utakuta kama Leo Yanga inacheza na Coastal wanaishambulia Yanga kwenye mitandao ni zaidi ya robo tatu hawa wote wanaikejeli Yangawhere are you Yanga Fans
 
JK aliwaambia mkamuona siyo
Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…