1kush africa
JF-Expert Member
- Dec 13, 2016
- 9,552
- 13,090
Poleni sanaVioingozi wa Yanga badilikeni wenzenu wameunda kikundi cha kuihujumu Yanga mpaka kwenye mitandao utakuta kama Leo Yanga inacheza na Coastal wanaishambulia Yanga kwenye mitandao ni zaidi ya robo tatu hawa wote wanaikejeli Yangawhere are you Yanga Fans
Kosa ni kuongoza ligi au ni nini? Mechi zetu zimekuwa zikifuatiliwa kwa ukaribu na kila mdau wa soka na wengi wao wanapenda klabu itetereke. kila timu ikicheza na Yanga wanacheza kufa kupona tofauti na hata timu hizi zikicheza na simba! Waamuzi nao wanakua wanajitahidi Yanga isishinde kwa kila namna.
Kinachonipa tumaini ni kuwa klabu yetu bado ndio klabu bora hapa Tanzania tusiotishika na yeyote na tukiwa klabu pekee yenye uhakika wa kumfunga simba anayejisifia kumfunga Al Ahly.
Wananchi wenzangu tutembee kifua mbele tuko vizuri tujipe muda kidogo benchi lifanye majukumu yake tukumbuke bado timu haijapoteza mchezo hadi leo
Halafu Mwakalebela amewachezea Sana utopolo!! Aliwadanganya kuwa amefungua kesi FIFA inayomhusu Morrison kuwa usajili wake Simba ni batili!!Kwa kujifariji tu!
Unapigwa vita na nani kama siyo kujistukia tu?
Uzuri wapenzi wengi wa utopolo ni mbumbumbu ndio maana mmedanganywa timu ni ya wananchi wakati hamjawahi kupata mgao hata senti tano zaidi ya kuchangishwa.Pesa wanapiga wajanja wachache wanaowapamba kwa jina wananchi!
Na wamefanikiwa kuficha udhaifu wao kwa kuwadanganya mnaonewa na waamuzi,TFF,bodi ya ligi,serikali,CAF na FIFA.Kwa ujinga wenu na mlivyo vilaza, mnaamini kweli kuwa mnaonewa.
Kosa ni kuongoza ligi au ni nini? Mechi zetu zimekuwa zikifuatiliwa kwa ukaribu na kila mdau wa soka na wengi wao wanapenda klabu itetereke. kila timu ikicheza na Yanga wanacheza kufa kupona tofauti na hata timu hizi zikicheza na simba! Waamuzi nao wanakua wanajitahidi Yanga isishinde kwa kila namna.
Kinachonipa tumaini ni kuwa klabu yetu bado ndio klabu bora hapa Tanzania tusiotishika na yeyote na tukiwa klabu pekee yenye uhakika wa kumfunga simba anayejisifia kumfunga Al Ahly.
Wananchi wenzangu tutembee kifua mbele tuko vizuri tujipe muda kidogo benchi lifanye majukumu yake tukumbuke bado timu haijapo
Tatizo la mashabiki wa Yanga ni kuongea sana,mafanikio kidogo-kelele nyingi.Nimefanya utafiti,katika mabishano ya kisoka,mashabikivwengi wa yanga huongea kwa jazba kana kwamba mpira ni vitaKosa ni kuongoza ligi au ni nini? Mechi zetu zimekuwa zikifuatiliwa kwa ukaribu na kila mdau wa soka na wengi wao wanapenda klabu itetereke. kila timu ikicheza na Yanga wanacheza kufa kupona tofauti na hata timu hizi zikicheza na simba! Waamuzi nao wanakua wanajitahidi Yanga isishinde kwa kila namna.
Kinachonipa tumaini ni kuwa klabu yetu bado ndio klabu bora hapa Tanzania tusiotishika na yeyote na tukiwa klabu pekee yenye uhakika wa kumfunga simba anayejisifia kumfunga Al Ahly.
Wananchi wenzangu tutembee kifua mbele tuko vizuri tujipe muda kidogo benchi lifanye majukumu yake tukumbuke bado timu haijapoteza mchezo hadi leo
Kosa ni kuongoza ligi au ni nini? Mechi zetu zimekuwa zikifuatiliwa kwa ukaribu na kila mdau wa soka na wengi wao wanapenda klabu itetereke. kila timu ikicheza na Yanga wanacheza kufa kupona tofauti na hata timu hizi zikicheza na simba! Waamuzi nao wanakua wanajitahidi Yanga isishinde kwa kila namna.
Kinachonipa tumaini ni kuwa klabu yetu bado ndio klabu bora hapa Tanzania tusiotishika na yeyote na tukiwa klabu pekee yenye uhakika wa kumfunga simba anayejisifia kumfunga Al Ahly.
Wananchi wenzangu tutembee kifua mbele tuko vizuri tujipe muda kidogo benchi lifanye majukumu yake tukumbuke bado timu haijapoteza mchezo hadi leo
Yaaani Utopolo mnapenda vya bure. Ko mnataka mkiwa mnacheza mzifunge tu timu kirahisi. Basi anzisheni ligi yenu ambayo mtakua mnacheza bila kukamiwa.Nadhani mmeiona kagera sugar iliyotukazia vibaya siku ile leo ikifa goli mbili hata kabla ya dkt 30 !na azam
Hakika Yanga tunakamiwa sana
Kwa Yanga hii hii simba hafurukuti na mnalijua hiloHahaa, eti mna uhakika wa kumfunga simba aliyeifunga Al Ahly!
Ona sasa mmepigwa na Coastal union ambao walipigwa 7 na simba!
Hivi hapo ukifanya hesabu kidogo tu unadhani kwa kiwango mlicho nacho sasa mkikutana na Simba ikiwa na kile kikosi kilichoipiga Coastal 7 nyie mtapigwa ngapi?
Zitapungua 9 kweli...!?
Bahati yenu game yenu na Simba imesogezwa mbele huko, kama ingekuwa imechezwa kama ilivyokuwa imepangwa hapo awali mngekuwa mmeshatimua benchi lote la ufundi kwa aibu ambayo mngeambulia, lakini hata na hivyo hamtaikwepa hiyo May!
But si mnaongoza ligi, endeleeni kufurahia kuongoza ligi kwani mnaogopa nini?
Unbeaten blalful!
Vile vikundi vyenu vilivyokuwq vinashangilianas vita na alahly mtandaoni vimeishia wapiVioingozi wa Yanga badilikeni wenzenu wameunda kikundi cha kuihujumu Yanga mpaka kwenye mitandao utakuta kama Leo Yanga inacheza na Coastal wanaishambulia Yanga kwenye mitandao ni zaidi ya robo tatu hawa wote wanaikejeli Yangawhere are you Yanga Fans
Timu lenu bovu hakuna cha hujuma wala nini.Vioingozi wa Yanga badilikeni wenzenu wameunda kikundi cha kuihujumu Yanga mpaka kwenye mitandao utakuta kama Leo Yanga inacheza na Coastal wanaishambulia Yanga kwenye mitandao ni zaidi ya robo tatu hawa wote wanaikejeli Yangawhere are you Yanga Fans
Kwa Yanga hii hii simba hafurukuti na mnalijua hilo
Unakumbuka mara ile kwa mkapa mlisawazisha ki bahati bahati game iliyofuata Zanzibar mkafa sasa labda mwezi may mtumie minyau yenu lkn kimpira hamuwezi pamoja na madhaifu yote ya yangaOiii, ptuu![emoji706][emoji706] hata mkiloga kwa kutumia vyura na ngamia...!! Utopolo ikimaliza hata hiyo nafasi ya pili ishukuru! Zaidi naiona ikimaliza nafasi ya tatu au ya nne huku ikiambulia kipigo cha maana kutoka kwa mabingwa watarajiwa hapo mwezi May!
Unakumbuka mara ile kwa mkapa mlisawazisha ki bahati bahati game iliyofuata Zanzibar mkafa sasa labda mwezi may mtumie minyau yenu lkn kimpira hamuwezi pamoja na madhaifu yote ya yanga