OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Yanga ikiwa na kikosi kamili imetoka suluhu ya goli 1 na Wanakawekamo wana TP Lindanda Pamba SC hapa uwanja wa CCM Kirumba.
Yanga imechomoa dakika 89 huku Pamba wakiwa pungufu baada ya Amisi Thabit kupigwa red card
Pamoja na kuponea kwenye tundu la sindano Yanga imeendelea kutokuonyesha ufundi wowote ikizidiwa kwa mbali sana na Pamba
Kocha wa Pamba akiwa amevali nadhifu suti kali amekisifia kikosi chake na kuahidi kuirejesha Pamba ligi kuu.
Mwinyi Zahera akiwa amevalia bukta amesema kikosi chake bado hakiko vizuri na wamekosa magori mengi.
Mashabiki wa Yanga wameonekana kushangilia droo na timu ya daraja la kwanza