Yanga mbovu yatoka suluhu na TP Lindanda Pamba SC

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
53,868
Reaction score
121,001
Yanga ikiwa na kikosi kamili imetoka suluhu ya goli 1 na Wanakawekamo wana TP Lindanda Pamba SC hapa uwanja wa CCM Kirumba.

Yanga imechomoa dakika 89 huku Pamba wakiwa pungufu baada ya Amisi Thabit kupigwa red card

Pamoja na kuponea kwenye tundu la sindano Yanga imeendelea kutokuonyesha ufundi wowote ikizidiwa kwa mbali sana na Pamba

Kocha wa Pamba akiwa amevali nadhifu suti kali amekisifia kikosi chake na kuahidi kuirejesha Pamba ligi kuu.

Mwinyi Zahera akiwa amevalia bukta amesema kikosi chake bado hakiko vizuri na wamekosa magori mengi.

Mashabiki wa Yanga wameonekana kushangilia droo na timu ya daraja la kwanza
 
Ngoja wapashe misuli moto mkuu.. mule kuna vijana kama wazee
 
Yanga Bariidii Haina Mvuto
Wanahangaika Na Rangi Ya Mdhamini
 
Kwenye friendly match, kocha hutafuta kuona kitu fulani iwe mchezaji, muunganiko nk. Ushindi ni bonus.
 
Pamoja na hayo Zesco anang'oka.Maana tulivyofungwa na polisi mlisema ya kila namna.Na baada ya nyie kutoka sare na pirates mkajiona mmefika nusu fainali.Lakin mpaka sasa sisi tumesonga ninyi mnabaki mchangani.
Yanga haitatoka..?
 
Uzuri Yanga ikitolewa na Zesco au ikikosa ubingwa viongozi Wana kisingizio kuwa wanahujumiwa na TFF .
 
hii yanga nliyoiona leo....kama itaendelea kucheza na kuwategemea mastrika kama kina molinga na beki za pemben kama Marcelo...viungo wasiyotumia akili kama shishimbi....muitunze hii text....nna uhakika hata top 5 ya vpl haitoboi...
Yanga ikiwa na kikosi kamili imetoka suluhu ya goli 1 na Wanakawekamo wana TP Lindanda Pamba SC hapa uwanja wa CCM Kirumba.

Yanga imechomoa dakika 89 huku Pamba wakiwa pungufu baada ya Amisi Thabit kupigwa red card

Pamoja na kuponea kwenye tundu la sindano Yanga imeendelea kutokuonyesha ufundi wowote ikizidiwa kwa mbali sana na Pamba

Kocha wa Pamba akiwa amevali nadhifu suti kali amekisifia kikosi chake na kuahidi kuirejesha Pamba ligi kuu.

Mwinyi Zahera akiwa amevalia bukta amesema kikosi chake bado hakiko vizuri na wamekosa magori mengi.

Mashabiki wa Yanga wameonekana kushangilia droo na timu ya daraja la kwanza
 
hii yanga nliyoiona leo....kama itaendelea kucheza na kuwategemea mastrika kama kina molinga na beki za pemben kama Marcelo...viungo wasiyotumia akili kama shishimbi....muitunze hii text....nna uhakika hata top 5 ya vpl haitoboi...
Achana na Yanga kijana. Leo mmepata CEO mpya from Sauz.
Kesho tu atapigwa zengwe na walaji. Tunza hii text kama atamaliza mwaka.
 
Yanga ikiwa na kikosi kamili imetoka suluhu ya goli 1 na Wanakawekamo wana TP Lindanda Pamba SC hapa uwanja wa CCM Kirumba.

Yanga imechomoa dakika 89 huku Pamba wakiwa pungufu baada ya Amisi Thabit kupigwa red card

Pamoja na kuponea kwenye tundu la sindano Yanga imeendelea kutokuonyesha ufundi wowote ikizidiwa kwa mbali sana na Pamba

Kocha wa Pamba akiwa amevali nadhifu suti kali amekisifia kikosi chake na kuahidi kuirejesha Pamba ligi kuu.

Mwinyi Zahera akiwa amevalia bukta amesema kikosi chake bado hakiko vizuri na wamekosa magori mengi.

Mashabiki wa Yanga wameonekana kushangilia droo na timu ya daraja la kwanza
Mukia ya panya aka kacheko kwake nyuma tuuu
 
Back
Top Bottom