Yanga mchawi wetu ni hela, wachezaji wa bei rahisi hatuwezi kufanana na mtani ambaye hana ubahili

Yanga mchawi wetu ni hela, wachezaji wa bei rahisi hatuwezi kufanana na mtani ambaye hana ubahili

Habari wadau..

Kama mwanayanga nina huzuni na matokeo ya mbeya.. na pia nina huzuni ya wivu wa mafanikio ya mtani simba..

Natambua kabisa mchawi wetu yanga ni hela.. kama kuna mwanayanga hatambui hilo naomba alitambue.

Kikosi cha simba kina watu wa gharama wengi tu.. ndio maana ana uwezo wa kupata matokeo popote..hata kwenye ligi wana uhakika wa ubingwa japo ligi tunaongoza sisi... na ubingwa wataupata tu wakiamua sababu wana watu wa kuleta matokeo wengi . Sisi yanga tunatumia wachezaji wa bei nafuu lazima tulie tu

Pia laana ya kunuacha david molinga kwa majungu ndio inatutafuna.. mpaka leo hii yanga hatuna mchambuliaji hata mmoja anayejua kujiposition kama molinga, japo molinga kibonge ila alifunga magoli kibao ambapo washambuliaji wote wa yanga waliopo leo hakuna atakayemfikia magoli molinga kwa hizi dalili
Kwani mtani Shadeeya anasemaje juu ya hili??
 
Manji
Manji
Hawa GSM sio wajinga. Wanaanzisha vitu kwa Mbwembe alafu kimya kinafuata.
GSM na kubadili mfumo wa uendeshaji yanga kimyaaaa.

GSM na ujenzi wa uwanja wa mazoezi kule jangwani, ulifeli ukaja kigamboni wakatangaza tenda mpk saiz kimyaaaa

GSM kuwashitukia mpk utumie akili mingi kuwaza ndipo utagundua hapa ni upigaji mtupuuuuu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Yanga mnanipa stress nyie[emoji38][emoji38][emoji38]
Na siku mkigundua kuwa Engineer ni Simba SC mnatalia sana...!
 
Mleta mada we mwenyewe jiulize ushawahi kuona wapi tajiri anauza magodoro!????

Mtaendelea kununua wastaafu kwa bei za buku jero mpaka akili ziwakae sawa mara fiston, ntibanzokinza
Yanga hawataki kushaurika...
Dunia ya Leo ukimpa Kocha rungu la USAJILI WA WACHEZAJI tambua umepigwaaaa! WARUNDI kwa asili ni WAKABILA sana, angalia Ndayiragije akiwa KMC aliwavuta magarasa kibaooooooo wa Kirundi akina Cliff Buyoya, Manu, Ndikumana nk.
Haya Kaze Kaja Yanga kaleta Mafaza akina Ntiba na Fiston na bado wakizubaa tu anavuta wengine. TFF na Vilabu kwa ujumla AMKENIIIII acheni Uzoba na Upuuzi wa kuwaachia Makocha Uchwala kutuletea wachezaji Watopolo kwenye Ligi. Yaani yule Fiston bureeeeee
 
Uzwazwa n pale mashabiki wanapojazana uwanja wa ndege kuwapokea wachezaji wakat hata siku moja hawajawah kimuona akicheza wanadanganywa na viongozi wao pamoja na magazeti

Dimba: mtambo wa mabao watua yanga

Mwanasport: kwa takwimu hizi za fiston abdulazack mbona wataisoma namba

Hapo mashabiki huchanganyikiwa utamkuta had profesa naye humwelez kitu

Nugaz; wape salaam mtambo wa mabao upo njian
View attachment 1701813
 
Ndio hapo sasa, Baada ya Bumbuli kutua Yanga ajitokea kwenye Tasnia ya Wanahabari kazi yake Kubwa kwanza; Gazeti la Mwanaspoti wino wake Mzito siku zoooote lazima ziiipambe Yanga tafuta nakala upitie. Wachambuzi na Wahariri wa Habari za Michezo wooote wako kwenye Payroll ya Yanga ili waipambe hata kama kinachofanyika ni Utopolo. Huyo mchezaji waliyekuwa wanatambia sjui anaitwa FISI ni mbovuuuuuuu heri ya Molinga mara 1000
 
Management ya GSM waliowengi ni Simba.
Na GSM eti ndio wadhamini wa Uto.
Mpira wa Bongo unaenda na fitna,Uto kama uto awana akili ya kung'amua kwasababu bado washamba sana,bado sana tena.
 
Uzwazwa n pale mashabiki wanapojazana uwanja wa ndege kuwapokea wachezaji wakat hata siku moja hawajawah kimuona akicheza wanadanganywa na viongozi wao pamoja na magazeti

Dimba: mtambo wa mabao watua yanga

Mwanasport: kwa takwimu hizi za fiston abdulazack mbona wataisoma namba

Hapo mashabiki huchanganyikiwa utamkuta had profesa naye humwelez kitu

Nugaz; wape salaam mtambo wa mabao upo njian
View attachment 1701813
Nimecheka ila magazet utaskia uyo lamine sasa apitiki
 
Sarmpong kuanza kufunga raundi ya pili
 
Wewe ni simba acha kujifanya Yanga wachezaji wa gharama simba ni akina nani kuna nchezaji simba wa kumfananisha na Mwamnyeto kwa gharama hivi wale wachezaji wazee nani anaweza kutoa pesa nyingi wakati wana muda nfupi sana wa kucheza mpira kutokana na umri wao
 
Manji
Manji
Hawa GSM sio wajinga. Wanaanzisha vitu kwa Mbwembe alafu kimya kinafuata.
GSM na kubadili mfumo wa uendeshaji yanga kimyaaaa.

GSM na ujenzi wa uwanja wa mazoezi kule jangwani, ulifeli ukaja kigamboni wakatangaza tenda mpk saiz kimyaaaa

GSM kuwashitukia mpk utumie akili mingi kuwaza ndipo utagundua hapa ni upigaji mtupuuuuu🤣🤣🤣🤣
Yanga mnanipa stress nyie😆😆😆
Haya sasa waanbie hao jiesiemu watungashe virago, Boss Manji is back for business
 
Nimecheka ila magazet utaskia uyo lamine sasa apitiki
Hilo gazeti ndio lilikuja na kichwa cha habari ya ramani ya ubingwa wa yanga nikasema kweli Tanzania kuna waandishi vilaza ameona ramani ya ubingwa kwenye jezi za yanga anasema ramani ya ubingwa ameshindwa kutofautisha ramani ya Africa na ramani ya ubingwa
 
Mtoa mada yuko sahihi Simba wachezaji 18 wameitwa timu ya taifa ukiondoa 10 wa ndani na 8 wa kigeni je yanga wangapi wameitwa timu ya Taifa halafu mtu anawaambia ukweli mnamsema ni Simba
 
Attachments

  • IMG-20210317-WA0013.jpg
    IMG-20210317-WA0013.jpg
    92.6 KB · Views: 2
Back
Top Bottom