Uongozi ni wa kuteuliwa au kuchaguliwa. Kama ukiona mtu ameajiriwa, basi huyo ni kwa ajili ya Management. Senzo ameajiriwa kwa ajili ya Management, sio uongozi. Anatakiwa awe amesoma darasani, sio ujanja ujanja wa kusema anaujua mpiraUongozi siyo management.
Ila management ni sehemu ya tu ya uongozi (administration).
Kwa hiyo kwa kuanzia tu, kimantiki hujaelewa alichosema uliyemnukuu.
Mimi nakubaliana na uliyemnukuu based on interview ya jana, jamaa wanaoneka ni weupe.
Ndiyo maana nikakwambia hujaelewa mantiki nzima ya uongozi.Uongozi ni wa kuteuliwa au kuchaguliwa. Kama ukiona mtu ameajiriwa, basi huyo ni kwa ajili ya Management. Senzo ameajiriwa kwa ajili ya Management, sio uongozi. Anatakiwa awe amesoma darasani, sio ujanja ujanja wa kusema anaujua mpira
una uhakika simba hawataki faida? wana uwezo wa kuwatoa Zamalek? Mamelodi?Ndiyo maana nikakwambia hujaelewa mantiki nzima ya uongozi.
Kwa mfano, lengo la Simba SC kwa sasa hivi ukiiangalia vizuri, siyo profit making. Haiongozwi kutafuta faida ya kibiashara.
Haiuzi merchandise, haiuzi wachezaji na inatumia fedha nyingi. Lengo ni kupata ubingwa wa Africa na hii ni kutokana na Uongozi hasa upande wa mwekezaji.
Uongozi ndiyo unaoweka malengo na mipango ya timu. Yaani lengo letu ni nini, mipango yetu ni ipi halafu management ndiyo ina execute.
Kwa hiyo, unaweza ukawa na PhD ya management, lakini malengo unayopewa na plan( budget, time etc..) unayopewa ikatoa results ambazo hazina maana yeyote na ukaonekana hujui unachofanya.
Uongozi Simba ni mwiba na hii itampa wakati mgumu CEO wao.
Ila jamaa kajidhalilisha sanaYeah mkuu,
Huyu bwana ni Chanda na Pete na Senzo. Sema alichoshindwa kutofautisha ni kua yeye ni Mshabiki wa Simba tofauti na Senzo ambae alikua Simba kimkakati.