Ndiyo maana nikakwambia hujaelewa mantiki nzima ya uongozi.
Kwa mfano, lengo la Simba SC kwa sasa hivi ukiiangalia vizuri, siyo profit making. Haiongozwi kutafuta faida ya kibiashara.
Haiuzi merchandise, haiuzi wachezaji na inatumia fedha nyingi. Lengo ni kupata ubingwa wa Africa na hii ni kutokana na Uongozi hasa upande wa mwekezaji.
Uongozi ndiyo unaoweka malengo na mipango ya timu. Yaani lengo letu ni nini, mipango yetu ni ipi halafu management ndiyo ina execute.
Kwa hiyo, unaweza ukawa na PhD ya management, lakini malengo unayopewa na plan( budget, time etc..) unayopewa ikatoa results ambazo hazina maana yeyote na ukaonekana hujui unachofanya.
Uongozi Simba ni mwiba na hii itampa wakati mgumu CEO wao.