Yanga mchunguzeni Senzo huenda ni pandikizi la Simba

Yanga mchunguzeni Senzo huenda ni pandikizi la Simba

Kuna viashiria vingi kuondoka kwa Senzo Simba haikuwa bahati mbaya bali mpango mahususi wa kuiangamiza Yanga maana huyu bwana tangu ujio wake ni draw na aibu za wagosi.

Hii tabia ya utani wa jadi ya kukomoana imesababisha Yanga kuokota jasusi la msimbazi wao wakidhani wanaikomoa Simba kumbe wameokota nyoka.

Viashiria vipo Simba wameifanyia Yanga ujasusi kwa kumpandikiza senzo kama mvurugaji (lone saboteur) Huyu takataka ndio anaihujumu Yanga akisaidiana na kina Hopeless Kaze.

Simba kwa kujikuta smart fellas si wakawahadaa Yanga eti wanamfungulia Senzo mashtaka kumbe ni mtu wao na ile ni danganya toto

For the sake of Yanga welfare watimue hii ya jasusi.
Hahahaha kaze naye ni Simba??? Utopolo mtashikana mashati muda si muda[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom