Mkuu ni kwamba Yanga hawataki hela yoyote, yaani hawataki mazungumzo kuhusu kuonyesha 'live'. YM akishasema, hakuna atakayempinga!Michezo/Mpira sasa hivi ni biashara Chifu...Hakuna cha bure sasa hivi...
Mkuu Balantanda Uko sahihi.
Mpira ni biashara, ila watu bado wanafikiri wako kule kule , bure bure.
Una uhakika na unachokiongea?..Mkuu ni kwamba Yanga hawataki hela yoyote, yaani hawataki mazungumzo kuhusu kuonyesha 'live'. YM akishasema, hakuna atakayempinga!
Uwanja wa Taifa unaingiza watu wasiozidi elfu sitini. Tukienda wote tutakaaje?
Ni watu 45,000/= tu mkuu.
Half TimeTupia sasa matokeo ya Mgambo v Azam FC huko Tanga.
Viongozi wengi wa Yanga elimu zao za kuunga unga!
Elimu sio za kuunga unga bali hawana kabisa, so primitive
Hapa ndipo mzee Akilimali na wenzie wanaponikera.
Wenyewe wanakwambia mechi ikioneshwa watu hawataenda uwanjani.....
Nendeni uwanjani
Hahahaaa,mzee Akilimali bwana? Akili zake anazijua mwenyewe.
Half Time
Mgambo JKT 0-0 Azam FC
Hali bado ni tete kwa Azam FC
He kumbe kulikuwa na mechi leo...imeishaje?
Asante matatizo makubwa a.k.a Makoye Matale...azam inabidi sasa akaze angalau apate hiyo nafasi ya pili...FT:
Mgambo Shooting 0-0 Azam
Mtibwa 1-0 Tanzania Prisons