Yanga: Mechi yetu na Etoile du Sahel haitaonyeshwa runingani

Yanga: Mechi yetu na Etoile du Sahel haitaonyeshwa runingani

Michezo/Mpira sasa hivi ni biashara Chifu...Hakuna cha bure sasa hivi...
Mkuu ni kwamba Yanga hawataki hela yoyote, yaani hawataki mazungumzo kuhusu kuonyesha 'live'. YM akishasema, hakuna atakayempinga!
 
Mkuu Balantanda Uko sahihi.

Mpira ni biashara, ila watu bado wanafikiri wako kule kule , bure bure.
 
Mkuu ni kwamba Yanga hawataki hela yoyote, yaani hawataki mazungumzo kuhusu kuonyesha 'live'. YM akishasema, hakuna atakayempinga!
Una uhakika na unachokiongea?..

Unaelewa kwamba mechi ya BDF XI Azam waliweka mezani milioni 8 wakashindwana na Yanga?...

Unless uwe na kinyongo na Manji...

TV za Bongo wamezoea mteremko..
 
Elimu sio za kuunga unga bali hawana kabisa, so primitive

Ni kiongozi gani wa Yanga hana elimu??...Ama unaongea kishabiki Chifu...

Kumbuka kwamba Yanga ndio timu pekee inayoongozwa na Mtendaji ambaye ni PHD holder...Dr. Jonas Tibohora..

Hapo bado Makamu Mwenyekiti msomi Clement Sanga...

Mwenyekiti Yusuph Mehboob Manji ni msomi...Jerry Muro ni msomi...

Haya nipe elimu ya Aveva...Kaburu...Tully na Hans Pope
 
Balantanda Mjomba nimeelewa somo la Yanga. Wasirushe hadi mrushaji atakapokata mpunga wa maana. Mimi nitakwenda taifa hata km haitarushwa.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom