Asante matatizo makubwa a.k.a Makoye Matale...azam inabidi sasa akaze angalau apate hiyo nafasi ya pili...
huyo hata hiyo akili yake si mali kabisa...
Wamchangani fc wana nyodo!!Waarabu piga vyura hao wa jangwani heshima irudi mtaani.!!
Hahahaaa,mzee Akilimali bwana? Akili zake anazijua mwenyewe.
Umefuraaaahi mwenyewe!Na Manji wake
Ungeandika kwa shilingi ili kila mtu akaelewa.katibu mkuu alisema kuwa ili mechi ya kimataifa ya yanga iweze kuonyeshwa inatakiwa $ 10000 vp azam hawajaweka mzigo mezan?
Nifurahi wapi wakati wamenikatili kuona namna tunavyowafanya vibaya waarabuUmefuraaaahi mwenyewe!
Wiki hii nimekubaliana na Makoye Matale kuwa nipo upande wenu.Eeeeh! Ni wewe Katavi au kuna mtu ka hack hii ID?
katibu mkuu alisema kuwa ili mechi ya kimataifa ya yanga iweze kuonyeshwa inatakiwa $ 10000 vp azam hawajaweka mzigo mezan?
Taja kiongozi mmojawapo wa Yanga mwenye elimu ya kuungaunga kisha unipe kiwango cha elimu cha Geofrey Nyange 'Kaaburu', Evans Aveva, Haji Manara, Zacharia Hans Pope na Said Tully
Kumbe? Basi hongera kwa uzalendo uliowashinda wengi.Wiki hii nimekubaliana na Makoye Matale kuwa nipo upande wenu.
Hahahaaa,aisee hiyo avatar yako hua inanichekesha sana.Hii account haijawahi kuwa hacked labda avatar tu ndio huwa watu wanaihack......!!!
Tatizi hapa sis Yanga, ni Azam TV ndo hawataki kutoa hiyo hela. sijui kwa nini stesheni zingine kama star tv zinaruhusu azam amonopolizie mpira wa bongomilioni 20 hiyo! mkomoeni.