avogadro
JF-Expert Member
- Apr 30, 2013
- 8,082
- 14,457
Mimi ni shabiki wa yanga niliye mbali na dar. Ninawaomba Watanzania woote msusie kwenda uwanjani ili kukomesha hii tabia ya kuwanyima watu waliombali na dar kushuhudia mtanange huo.Huo ni ujinga uliopitiliza na sijui TFF ama BMT wanafanya nini kushindwa kukemea huo ujinga. Ni kawaida wtu kama yupo karibu hatokubali kuangalia luningani lakini kwa waliombali waingie mkataba na TV mojawapo ili na sisi tuiangalie kwa viingilio au tununue vifurushi vya tv