Yanga: Mechi yetu na Etoile du Sahel haitaonyeshwa runingani

Hahahaaa,aisee hiyo avatar yako hua inanichekesha sana.
Avatar yako mimi inanivutia tu kuiangalia, nadhani kama sio wewe basi unafanana na aliyepo kwenye avatar.
 
Yanga kashajua game hii hatoki sasa unataka wakubali kuirusha kwenye runinga ili wachekwe na wapinzani kwa watakavyopewa kichapo
 
Yanga kashajua game hii hatoki sasa unataka wakubali kuirusha kwenye runinga ili wachekwe na wapinzani kwa watakavyopewa kichapo
Wewe acha kuropoka hovyo, game itakuma LIVE kupitia Agape Television Network (ATN) kama una king'amuzi chao au jiran yako itakapofika saa 9 kesho sogea karibu na runinga ili uone watoto wa Jangwani watakavyokuwa wanawapigisha ngwata hao waarabu wako.
Full Time-
Yanga sc 3-0 Etoile du sahel
 

sawa mtani nimekuelewa ila jaribu kuedit post yako sababu naona povu limekutoka sana kisa yeboyebo
 
E
Marudiano kawaulize Azam
 
Jamani wana Jangwani nipo maeneo ya POSTA DSM, wapi naweza kupata ticket ya mechi ya kesho, nikashuhudie mtanange huu? Ni vituo gani TICKET zinauzwa kwa maeneo haya ya POSTA au KARIAKOO?
 
Yanga ashaumia hii mechi, ila viongozi wa yanga wanamambo ya ajabu sana wanafikiri kutokuonyesha mechi wachezaji wao wataonekana vipi ili wapate nafasi nje ya nchi?

Ndio maana baadhi ya wachezaji wa yeboyebo viwango vyao vinaishia hapo jangwani kwenye dimbwi lao la kambale
 
Hivi Watanzania mashabiki wa yanga zaidi ya milioni kumi wanaweza kuingia uwanjani wote?
 
yanga wanaturudisha enzi za ujima, kuanza kuusikilizia mpira Redioni hii inakera sana
 
Yanga huu ni ubinafsi kabisa . Watu wanalipia king'amuzi cha Azam ili kuangalia mechi za timu zetu za hapa hapa sasa hapa inakuwaje? Ni wazi kabisa Klabu ya Yanga inao Wapenzi,Washabiki na Wanachama wengi sana hapa nchini na hata nje ya nchi kiasi kwamba si rahisi wote wakasafiri kuja Dar kuangalia mechi hiyo. Kutoonesha mechi hii ni kuwanyima haki . Viongozi wa Yanga waache tabia hiyo ni mbaya na inakera coz hata Washabiki wengine hata kama si wa Yanga wangependa kuangalia mechi hiyo. Nimeshaona sasa Viongozi wa Yanga imeshakuwa tabia yao - mnatuboa sana. Mkubaliane na hao Azam TV kesho mtuoneshe mechi hiyo.
 
Agape Television Network (ATN) wako LIVE leo kukuletea yote yatakayojiri kutoka uwanja wa taifa.
 
agape TV wanarusha mechi ya leo live Yang vs etoile
 
ukweli ni kwamba hata kwa marungu hii round lazima mwarabu apite sio kwamba yanga hawajui mpira lah! ila ni utaratibu wa CAF timu kubwa kama etiole hawezi kutoka mapema coz watakosa mapato!

Watani wangu yanga mcheze ila mjue CAF hawapo upande wenu! Waulizeni azam kilichowakuta sudan!
 
agape TV wanarusha mechi ya leo live Yang vs etoile

Dah hii shughuli, kwahiyo tunatakiwa kumiliki vinga'amuzi vingapi??? Binafsi mpaka sasa nina Dstv,Azam,Startimes, Digteck na bado siwezi kuona mpira wa Yanga Live mpaka niwe na Agape! Hata nikinunua hiyo Agape sina uhakika Kama itaendelea kuonyesha mechi nyingine, badala yake utasikia Continental ndiyo wanaonyesha, sasa si tutakuwa na lundo la hivyo visimbuzi??
January Makamba haya ndiyo mambo unayotakiwa kufanya kabla ya kuanza kufikiria urais.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…