Nas Mapesa
JF-Expert Member
- Jul 31, 2014
- 5,286
- 5,421
Yanga chama langu kwa hili tumechemka...........
we yanga gan unachukia mafanikio ya team?bila shaka we mamluki,kama azam wantaka biashara watoe mpunga
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yanga chama langu kwa hili tumechemka...........
Avatar yako mimi inanivutia tu kuiangalia, nadhani kama sio wewe basi unafanana na aliyepo kwenye avatar.Hahahaaa,aisee hiyo avatar yako hua inanichekesha sana.
Wewe acha kuropoka hovyo, game itakuma LIVE kupitia Agape Television Network (ATN) kama una king'amuzi chao au jiran yako itakapofika saa 9 kesho sogea karibu na runinga ili uone watoto wa Jangwani watakavyokuwa wanawapigisha ngwata hao waarabu wako.Yanga kashajua game hii hatoki sasa unataka wakubali kuirusha kwenye runinga ili wachekwe na wapinzani kwa watakavyopewa kichapo
Wewe acha kuropoka hovyo, game itakuma LIVE kupitia Agape Television Network (ATN) kama una king'amuzi chao au jiran yako itakapofika saa 9 kesho sogea karibu na runinga ili uone watoto wa Jangwani watakavyokuwa wanawapigisha ngwata hao waarabu wako.
Full Time-
Yanga sc 3-0 Etoile du sahel
Wewe acha kuropoka hovyo, game itakuma LIVE kupitia Agape Television Network (ATN) kama una king'amuzi chao au jiran yako itakapofika saa 9 kesho sogea karibu na runinga ili uone watoto wa Jangwani watakavyokuwa wanawapigisha ngwata hao waarabu wako.
Full Time-
Yanga sc 3-0 Etoile du sahel
Avatar yako mimi inanivutia tu kuiangalia, nadhani kama sio wewe basi unafanana na aliyepo kwenye avatar.
HongeraKabisa kabisa! Pigia mstari hapo.
Hivi Watanzania mashabiki wa yanga zaidi ya milioni kumi wanaweza kuingia uwanjani wote?Kama anavyosisitiza Balantanda hapo juu mpira wa sasa ni biashara. Hata ulaya Tv inazilipa timu zinazocheza kiasi cha pesa ili kuonesha mechi. Sasa kama yanga haijalidhika na malipo kuna tatizo gani? Halafu usichukie timi kisa tu mechi haioneshwi, tuweni wazalendo zaidi tukajaze uwanja na kushangilia kwa sana. Yanga Mbele daima..... Nyuma mwiko
Hivi Watanzania mashabiki wa yanga zaidi ya milioni kumi wanaweza kuingia uwanjani wote?
Agape Television Network (ATN) wako LIVE leo kukuletea yote yatakayojiri kutoka uwanja wa taifa.Yanga huu ni ubinafsi kabisa . Watu wanalipia king'amuzi cha Azam ili kuangalia mechi za timu zetu za hapa hapa sasa hapa inakuwaje? Ni wazi kabisa Klabu ya Yanga inao Wapenzi,Washabiki na Wanachama wengi sana hapa nchini na hata nje ya nchi kiasi kwamba si rahisi wote wakasafiri kuja Dar kuangalia mechi hiyo. Kutoonesha mechi hii ni kuwanyima haki . Viongozi wa Yanga waache tabia hiyo ni mbaya na inakera coz hata Washabiki wengine hata kama si wa Yanga wangependa kuangalia mechi hiyo. Nimeshaona sasa Viongozi wa Yanga imeshakuwa tabia yao - mnatuboa sana. Mkubaliane na hao Azam TV kesho mtuoneshe mechi hiyo.
agape TV wanarusha mechi ya leo live Yang vs etoile