Yanga: Mechi yetu na Etoile du Sahel haitaonyeshwa runingani

Mzee mbona unaongea kama hujui? Hakuna kituo cha tv kinachotaka kuonyesha mechi bure mfano mechi ya yanga na bdf xii walipewa million 8 na azamtv wakakataa sasa hao itakua ni ujinga wao tu ukiangalia kua wengi wao ni wazee wenye mawazo mgando.
 
unajitangaza ili iweje!!? mpira sasahivi ni pesa, nenda ulaya uone kama kuna club iko tayari kuuza haki za matangazo kwa pesa mbuzi kisa kujitangaza
 
busara huna, kuendesha ile club ni gharama!! hakuna club inayotoa haki za matangazo bule duniani kisa washabiki tena kama wabongo ambao hawachangii lolote zaidi ya kusubiria ifanye vibaya waponde
 
hii inaonyesha ni jinsi gani haujui hata dunia inavyokwenda, unafikiri yanga wametumia milioni nane kuandaa timu!!? kaka haukusoma hata introduction ya opportunity cost!? hata million mia haitoshi kununua game ile!!
 
Mzee mbona unaongea kama hujui? Hakuna kituo cha tv kinachotaka kuonyesha mechi bure mfano mechi ya yanga na bdf xii walipewa million 8 na azamtv wakakataa sasa hao itakua ni ujinga wao tu ukiangalia kua wengi wao ni wazee wenye mawazo mgando.

Timu kama yanga unaipa million 8 yanambayo ya hela ambayo itapungua hapo mlangoni ni zaidi ya hata million 20 sababu watu wataangalia kwny tv halafu wao wapate million 8
 
Mzee mbona unaongea kama hujui? Hakuna kituo cha tv kinachotaka kuonyesha mechi bure mfano mechi ya yanga na bdf xii walipewa million 8 na azamtv wakakataa sasa hao itakua ni ujinga wao tu ukiangalia kua wengi wao ni wazee wenye mawazo mgando.

bukoba boy wamaanisha pesa ni pesa tu hata kama haina thamani?
 
Last edited by a moderator:
bukoba boy wamaanisha pesa ni pesa tu hata kama haina thamani?

Uthamani wa pesa unatokana na mechi yenyewe hao bdf xii nani aliwajua kabla ya mechi yao na yanga? Na simaanishi kua na mechi ya etoile du sahel watoe m8 ni obvious kua itapanda. Ila wanaendekeza tamaa wanataka tv rights ya mechi moja iwape mamilioni.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu nani sasa anapanga thamani...
 
Sema Hii habari imeshakuwa ya uongo admin itoe.
Hapa live TBC 1 UKWELI NA UHAKIKA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…