BASIASI
JF-Expert Member
- Sep 20, 2010
- 9,732
- 5,006
Najua hamuamini hili refa anaingia uwanjani na redi kadi yenu kapewa maagizo wapi sijui
Ushauri
1) Wachezaji mjitahidi sana kushinda magoli mengi kipindi cha kwanza
2) Wachezaji mjitume dakika zote tisini mkijua hamchezi na wenzenu 11
3) Kama kuna mechi kucheza kwa nidhamu zote ni kesho mnapambana si na Simba tu..
4) Msiwe na hofu na uwoga hata atakapotolewa mmoja wa wachezaji wenu hii ktk kuwaondoa mchezoni
5) Mwisho mtangulizeni Mungu ndiye muweza yote