Sababu gani unazozielezea wakati game ya mwisho tumewafumua vizuri tuyanga hamjawahi ishiwa sababu
Hahahaaaa mzee umenichekesha sana.Yaani dawa ya ile mizee ni kukimbizwa tu.Yaani ri refarii ni mali ya simba! Hakika wachezaji wetu wanatakiwa wacheze kwa tahadhari kubwa. Wakijisahau tu, wamekwisha! Wawe makini pia na faulo za nje ya 18.
Wasisahau kamwe figisu aliyowafanyia Azam kwenye ile mechi ya nusu fainali kwenye zile dakika za lala salama.
Dawa ya kuwadhibiti mbumbumbu fc ni kukaba tu man to man! Na kuhakikisha timu inakabia juu! Counter attack kama kawa, maana michezaji yao mingi ni mizee! Hivyo haiwezi kushambulia na kurudi haraka kulinda.
NAJUA HAMUAMINI HILI REFA ANAINGIA UWANJAN NA REDKADI YENU KAPEWA MAAGIZO WAPI SIJUI
USHAURI
1)WACHEZAJI MJITAHIDI SANA KUSHINDA MAGOLI MENGI KIPINDI CHA KWANZA
2)WACHEZAJI MJITUME DK ZOTE TISINI MKIJUA HAMCHEZI NA WENZENU 11
3)KAMA KUNA MECHI KUCHEZA KWA NIDHAMU ZOTE N KESHO MNAPAMBANA SI NA.SIMBA TU..
4)MSIWE NA HOFU NA UWOGA HATA ATAKAPOTOLEWA MMOJA WA WACHEZAJI WENU HII KTK KUWAONDOA MCHEZONI
5)MWISHO MTANGULIZEN MUNGU NDIE MWEZA YOTE
Tayari imetoka
Maoni yako mkuu, unahisi sio halali?Tayari imetoka
Hapa ni mukoko ndio alipewa maelekezoNAJUA HAMUAMINI HILI REFA ANAINGIA UWANJAN NA REDKADI YENU KAPEWA MAAGIZO WAPI SIJUI