Kabla sijaenda mbele kutoa maoni yangu juu ya hili. Naomba nitajie tarehe na mwezi na mwaka ambao huyo anayesemekana mganga wa Yanga kafukia hivyo vituHuyo jamaa ndio.mganga wa Yanga licha ya kwamba hatuamini kwenye uchawi ila upo maana sio kwa kukosa magoli vile
La mwisho Yanga mwambie mganga wenu akafukue dawa pale taifa maana tangu aweke timu za taifa zinakula kichapo tuView attachment 2007215
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app