Yanga mkafukue mlivyofukia pale kwa mkapa

Yanga mkafukue mlivyofukia pale kwa mkapa

karv

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2019
Posts
1,802
Reaction score
3,253
Huyo jamaa ndio mganga wa Yanga licha ya kwamba hatuamini kwenye uchawi ila upo maana sio kwa kukosa magoli vile

La mwisho Yanga mwambie mganga wenu akafukue dawa pale taifa maana tangu aweke timu za taifa zinakula kichapo tu
FB_IMG_16366462660904806.jpg


Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Haki tena ule uwanja wamejaa wachawi watupu..

Ushirikina mtupu uko pale.
 
Huyo jamaa ndio.mganga wa Yanga licha ya kwamba hatuamini kwenye uchawi ila upo maana sio kwa kukosa magoli vile

La mwisho Yanga mwambie mganga wenu akafukue dawa pale taifa maana tangu aweke timu za taifa zinakula kichapo tuView attachment 2007215

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Kabla sijaenda mbele kutoa maoni yangu juu ya hili. Naomba nitajie tarehe na mwezi na mwaka ambao huyo anayesemekana mganga wa Yanga kafukia hivyo vitu
 
Mwaka huu pale simba kwa Mkapa patakuwa kwa moto sana

Naomba huyu sheikh akaongeze dawa nyingine
 
Kwanini hamtaki kukubali kuwa Simba haipo vizuri msimu huu,yaani wachezaji ni wale wa viwango vya chini mno

Hakuna uchawi bwana!!!
 
Back
Top Bottom