Yanga: Mkutano na wanahabari tarehe 17.07.2024

Wakuu kesho saa nane mchana kutakuwa na mkutano wa Yanga na wanahabari.

Tusubiri watatii agizo la mahakama au watakata rufaa.


Bundi katua Jangwani,ugali wa moto mboga ya moto.
Kwa sababu gani
 
Migogoro imeamia kwa jirani.

Chama hana bahati, alikotoka kulikuwa na migogoro. Mpaka anaondoka aliacha ile migogoro ipo kwenye progress ya kutafutiwa suluhu.

Suluhu ikaonekana kupatikana wakati tayari mwamba kasepa.

Alipofikia huko ugenini nako hata mshahara wa mwezi mmoja bado hajaanza kuchukua tayari migogoro imeanza.

Daah hizi timu pasua kichwa sana.
 
Mtasubiri sana huyo bundi kutua Jangwani. Hii ndiyo timu ya wananchi hatushindwi kitu. Hao wazee wanga, kazi yao kupaa wataweza wapi kuiendesha timu. Tabu iko palepale...

#yangadaimambelenyumamwiko
🟨🟩🟨🟩🟨🟩🟨🟩🟨🟩🟨🟩🟨🟩
 
Hakuna mgogoro Yanga.

Mbumbumbu mmejaa kwenye 18.
Yaani hata mnashindwa kutegua hii code.

Na me nitaawacha sitamwambia, Wacha mfurahi usiku huu tu
 
Hukumu ya 2023, a year back, halafu linaletwa ombi la kukazia hukumu…so funny.
Kesi iliyosikilizwa upande mmoja bila ya kuwaita walalamikiwa. Full upwagu
 
Engineer afuate katiba,vinginevyo sisi wanachama halisi wa Yanga tutakiwasha mahakamani tena
 
Hakuna mgogoro Yanga.

Mbumbumbu mmejaa kwenye 18.
Yaani hata mnashindwa kutegua hii code.

Na me nitaawacha sitamwambia, Wacha mfurahi usiku huu tu
Sawa ila huko mbeleni tusikuone ukibadili gia.

Mi navyojua hata stunt zina limitations zake, huwezi ukafanya stunt na mahakama kwa ku gain attentions.
 
Hakuna mgogoro Yanga.

Mbumbumbu mmejaa kwenye 18.
Yaani hata mnashindwa kutegua hii code.

Na me nitaawacha sitamwambia, Wacha mfurahi usiku huu tu
Code gani we tapeli? ,[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Engineer aliwashika pabaya makolo Leo wajamba vibaya Sana Kwa furaha.
 
Sawa ila huko mbeleni tusikuone ukibadili gia.

Mi navyojua hata stunt zina limitations zake, huwezi ukafanya stunt na mahakama kwa ku gain attentions.
πŸ˜…πŸ˜… Mbumbumbu mnazubaishwa
Tarehe 8 mtapigwa 8
Sio mbali fikiria sana hiyo game.
Achana na haya mambo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…