Yanga mlidhani tarehe 2 mbali?

Yanga mlidhani tarehe 2 mbali?

Ile kupigwa Kama ngoma ndo kesho.

Yanga niliwambia msim huu mtapanda ndege Mara mbili tu baada ya Apo Ni mwendo wa Bus Yutong , bajaji, boda, bolt.

Mngepanda ndege walau Mara tatu lakin wale wasudani wakaharbu mipango wakacheza hapa kwetu home and away.

Morrison naskia anatuma msg kila sku kwa mataita wa Simba anasema mateso anayopata Yanga ni mazito.

Afu naskia hizi mechi Manara huwa anabeti afu anawaua Yanga
Afu naskia hizi mechi Manara huwa anabeti afu anawaua Yanga
 
Aisee..historia hii
 
Attachments

  • 18957c7504e640a1a89ca46648ec97c6.jpg
    18957c7504e640a1a89ca46648ec97c6.jpg
    72.8 KB · Views: 3
Ile kupigwa Kama ngoma ndo kesho.

Yanga niliwambia msim huu mtapanda ndege Mara mbili tu baada ya Apo Ni mwendo wa Bus Yutong , bajaji, boda, bolt.

Mngepanda ndege walau Mara tatu lakin wale wasudani wakaharbu mipango wakacheza hapa kwetu home and away.

Morrison naskia anatuma msg kila sku kwa mataita wa Simba anasema mateso anayopata Yanga ni mazito.

Afu naskia hizi mechi Manara huwa anabeti afu anawaua Yanga
Yanga inawatesa sana misukule ya Mo.
 
Mimi kwa jicho langu naona kesho Yanga wanawafunga Tunisia labda Yanga wakafungwe huko kwao marudio. Shida ni kwamba watafunga moja tuu.
Bora wauchune wasifunge hata hilo moja, maana watakuwa wamemjeruhi mwarabu, mikakati atayowekewa kule arabuni ni kuvunjwa vunjwa huo mwiko huko nyuma halafu anachomekwa chuma cha moto
 
Wenzako wapo serious we unaleta utani hapo wanawaza Caf champions league group stage watapangiwa na nani
Kweni ugomvi mkuu?
Kama uko serious na makundi si tupo serious na mchezo wa kesho.
 
Nabi ameshaona kwa timu Ile hatoboi akienda Tunisia anabeba kabisa mabegi yake
 
Hakuna kauli mbiu iliyoanzishwa na Manara tangu kahamia yanga afu ikawa na impact

"Return of champion" walikufa nje ndani

"Iwe mvua iwe jua" waka draw

"Ujanja ni kuchanja" ????
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] 'Return of Champion' hii itakuwa bongo movie
 
Mambo yameisha: hatimaye caf imemteua ahmed arajiga refa wa mechi ya yanga vs africain kesho.

Kolo mkanywe sumu ya panya sasa
 
Back
Top Bottom