Otorong'ong'o
JF-Expert Member
- Aug 17, 2011
- 37,957
- 26,414
Wameona Kauli mbiu zina waponza..Wameniangusha kweli sasa hivi hawana Kauli Mbiu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wameona Kauli mbiu zina waponza..Wameniangusha kweli sasa hivi hawana Kauli Mbiu
msongo wa mawazo utakuumiza sanaIle kupigwa Kama ngoma ndo kesho.
Yanga niliwambia msim huu mtapanda ndege Mara mbili tu baada ya Apo Ni mwendo wa Bus Yutong ,bajaji,boda ,bolt
Mngepanda ndege walau Mara tatu lakin wale wasudani wakaharbu mipango wakacheza hapa kwetu home and away
Morrison naskia anatuma msg kila sku kwa mataita wa Simba anasema mateso anayopata Yanga Ni mazito.
Afu naskia hzi mechi Manara hua anabeti afu anawaua Yanga
Wamefyata mkia kama mbwa jike anyeogopa kugongwaWanadhani kutofuzu Club bingwa kulisababishwa na kauli mbiu
Now Ally Kamwe namuona mnyonge sana anaogopa kutoka kifua mbele kwa maneno ya kishujaa yqsije kumkuta ya Al hilal
Utopolo itafanikiwa siku watakapo utoa huo mwiko nyumaKesho ndo siku ya waarabu kuwashindilia utopolo Mwiko Nyuma
Yaani...Utopolo wanatamani tu muujiza utokee ili wajikute wameingia makundi shirikisho ila kiukweli mpangokazi haupo kabisaaa.
Anaitwa Prince Dube Mgunda
Ewaaaaaaaaaaa [emoji1787]Anaitwa Prince Dube Mgunda
Nasubiri kesho waarabu wanipe burudani huu msingo uishemsongo wa mawazo utakuumiza sana
Wanaombea FIFA wawafungie Tunisia baada ya serikali yao kuingiia mambo ya sokaUtopolo wanatamani tu muujiza utokee ili wajikute wameingia makundi shirikisho ila kiukweli mpangokazi haupo kabisaaa.
Labda ashinde njaa .Mimi kwa jicho langu naona kesho Yanga wanawafunga Tunisia labda Yanga wakafungwe huko kwao marudio. Shida ni kwamba watafunga moja tuu.
Yanga niliwambia msim huu mtapanda ndege Mara mbili tu baada ya Apo Ni mwendo wa Bus Yutong ,bajaji,boda ,bolt[emoji23]Ile kupigwa Kama ngoma ndo kesho.
Yanga niliwambia msim huu mtapanda ndege Mara mbili tu baada ya Apo Ni mwendo wa Bus Yutong ,bajaji,boda ,bolt
Mngepanda ndege walau Mara tatu lakin wale wasudani wakaharbu mipango wakacheza hapa kwetu home and away
Morrison naskia anatuma msg kila sku kwa mataita wa Simba anasema mateso anayopata Yanga Ni mazito.
Afu naskia hzi mechi Manara hua anabeti afu anawaua Yanga
Nyuma mwiko wameitelekeza?Wameniangusha kweli sasa hivi hawana Kauli Mbiu
Usha chanja ? Tiketi bure Cha msingi chanjoHii picha imepigwa kesho saa 12 jioni
Kwani yanga hajawatungua hyo dogo mbona mnajisahaulisha watani.
Wenzako wapo serious we unaleta utani hapo wanawaza Caf champions league group stage watapangiwa na naniHii picha imepigwa kesho saa 12 jioni
Morrison naskia anatuma msg kila sku kwa mataita wa Simba anasema mateso anayopata Yanga ni mazitoIle kupigwa Kama ngoma ndo kesho.
Yanga niliwambia msim huu mtapanda ndege Mara mbili tu baada ya Apo Ni mwendo wa Bus Yutong , bajaji, boda, bolt.
Mngepanda ndege walau Mara tatu lakin wale wasudani wakaharbu mipango wakacheza hapa kwetu home and away.
Morrison naskia anatuma msg kila sku kwa mataita wa Simba anasema mateso anayopata Yanga ni mazito.
Afu naskia hizi mechi Manara huwa anabeti afu anawaua Yanga