Kwanini mmetumia.hela nyingi alafu mnamweka mtu bench achezi..kwanini.mzinunue.pesa hizo.wachezaji.wazuri wa ndani
Hui ujinga msirudie tena pls
kwa defence Yanga huwezi kuwatoa yondani na cannavaro kwa sasa hiyo ndio imekaa hapoBado kombinesheni haijakaa vizuri
nadhani hujaipata hoja yakeTimu inasajili wachezaji 20 lakini wanaoanza ni 11
nakuunga mkono mchezji wa kimataifa si wa kukaa bencho ni aheri uwe na mzawa benchi kuliko mchezaji wa kimataifa ingawa kwa tafakuri ya yanga ni kuimarisha uhai wa tumu muda wote lakini hata mzawa angetosha
Kwanini mmetumia.hela nyingi alafu mnamweka mtu bench achezi..kwanini.mzinunue.pesa hizo.wachezaji.wazuri wa ndani
Hui ujinga msirudie tena pls
Kisha unaweza kusajiri saba ila kanuni zinasema wanaruhusiwa kucheza watano tu
Kwanini mmetumia.hela nyingi alafu mnamweka mtu bench achezi..kwanini.mzinunue.pesa hizo.wachezaji.wazuri wa ndani
Hui ujinga msirudie tena pls
koma tena ukoma pesa za wanaganga sio za babayako na.mm nachangia kila.mwezi naitaji kujha mathmiz tena adabu ikushke