Yanga MLIMSAJILI BOSSOU VICENT WA NINI

Yanga MLIMSAJILI BOSSOU VICENT WA NINI

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
57,951
Reaction score
32,619
Kwanini mmetumia.hela nyingi alafu mnamweka mtu bench achezi..kwanini.mzinunue.pesa hizo.wachezaji.wazuri wa ndani

Hui ujinga msirudie tena pls
 
nakuunga mkono mchezji wa kimataifa si wa kukaa bencho ni aheri uwe na mzawa benchi kuliko mchezaji wa kimataifa ingawa kwa tafakuri ya yanga ni kuimarisha uhai wa tumu muda wote lakini hata mzawa angetosha
 
Kwanini mmetumia.hela nyingi alafu mnamweka mtu bench achezi..kwanini.mzinunue.pesa hizo.wachezaji.wazuri wa ndani

Hui ujinga msirudie tena pls

Timu inasajili wachezaji 20 lakini wanaoanza ni 11
 
matarajio yangu tukisajili mchezaji wa kigen basi haata awe na uwezo kweny sub kuliko kukaa bench na kutumia garama nyingi kiasi hiki kuna michezo niliwahi sema inaendelea katiya makocha wa kithungu na viongozi nahisi huyu nae wale wale anatumika humo..anyway wacha tuanze na mabadiliko kwanza tunakuja huko
 
Tulimsajiri hili akae benchi.HIYO TIMU NI YA KIMATAIFA ZAID NA INA MECH NYINGI KTK MSIMU MMOJA SO USIKOSOE WAKAT NDIO KWANZA LIGI INA MICHEZO MITATU TU.KUWA NA MATUMAIN YA KUWA ATAPATA NAFAS NA USIDHAN KUWA NADIR & KELVIN WATAKUWA FITI SIKU ZOTE.
 
nakuunga mkono mchezji wa kimataifa si wa kukaa bencho ni aheri uwe na mzawa benchi kuliko mchezaji wa kimataifa ingawa kwa tafakuri ya yanga ni kuimarisha uhai wa tumu muda wote lakini hata mzawa angetosha

Kavumbangu si striker mzuri lakini anawekwa benchi Azam,performance ya mchezaji ndio inamfanya aanze na sio kwakuwa katoa nje ndio achezeshwe.Kocha ndio anayepanga timu
 
Kwanini mmetumia.hela nyingi alafu mnamweka mtu bench achezi..kwanini.mzinunue.pesa hizo.wachezaji.wazuri wa ndani

Hui ujinga msirudie tena pls

Msimu wa ligi hata nusu bado. Tuwe na subira. Kuna kuumia au mchezaji kushuka kiwango.
 
Sio lazima mchezaji wa kigeni kucheza,kumbuka ushindani wa no upo open kwa wachezaji wote
 
Kisha unaweza kusajiri saba ila kanuni zinasema wanaruhusiwa kucheza watano tu
 
Waliingizwa kingi na mamafia wa Simba, simba walidai wanamtaka Ndala wakadai eti wana Overlap.
 
Back
Top Bottom