Yanga: Mmeokota wapi hawa mafowadi?

hivi ww wa wapi?si ungeangalia isodingo tu ujiridhishe..mpira una watu wake kakaa

Hiyo sijui Isodingo yako, kaangalie na HG wako.

Wabongo kwa kujidai, utadhani wanafahamu- wakati hamna lolote.
 
Subiri waelewane forward mbona huu upuuzi utaufuta ulio andika.

Kwahiyo kufunga hadi waelewane? Huki amebaki yeye na kipa?

Afu uache ukuku, kutumia lugha za ajabu. Kama haikufai unapita kimya kimya!!
 
Nakubaliana nawe mleta mada kwan namu ni yanga mwenzako tena niliyetukuka na kiukweli hili TIMU YETU IFUNGE GOLI 1 BASI LAZIMA WAPATE NAFASI 10 ZA WAZI NA HILO NIMELIONA HIV KARIBUNI.KAZI YA KOCHA NI KUREKEBISHA MATATIZO KM HAYO NA YAKIENDELEA BASI USAJILI LAZIMA UFANYIKE.
DONALD NGOMA NI FOWARD MZURI SN NA KM UNA UPEO KIASI KTK MPIRA HILO LAZIMA UMELIONA THOUGH SIO NAMBA TISA KM MAIN STRICKER YEYE NI NAMBA KUMI.TUNA TUNA KIPIMO KIZURI J5 DHID YA AZAM NA KTK MECH KAMA HIZO NAFAS UWA NI CHACHE SN SO UKIIPATA LAZIMA UITUMIE NA SIO VINGINEVYO.
UNAPOWASEMS WACHEZAJ WA KIGEN NAFIKILI UNAKOSEA KWA MAANA WAO NI BINADAM KM WEWE NA WANA SIKU NA SIKU PIA.TAMBWE AMEFANYA SN KAZ TOKA TUMEMSAJILI NA KUKOSA MAGOLI KWA JANA PEKEE ISIWE SABAB YA KUANZA KUMBEZA..CANAVARO NA MSUVA WAMEKOSA PENAT MBILI KAT YA 3 JE CANAVARO NAYE TUANZE KUMSEMA HAPA JUKWAAN??TUYACHUKULIE HAYA MASHINDANO KM SEHEMU YA KUJIANDAA NA LIGI KUU PAMOJA NA MICHUANO YA KIMATAIFA.
 
Mimi pia ni mshabiki wa yanga lakini nimekubali coz kwenye inabidi inabidi tukubali tu
 
Sote n wapenzi wa yanga naomba mjue hili

Mnapotoa maoni.kocha na wengine wanasikiliza maoni yenu na kusoma..sasa timu ikio.eekana aikosawa tusipeane moyo maana tunachofanya na viongozi wakijua hilo awawazi wapi pa kurekebisha

Naomba tuwewazi yanga timu nzuri ila mapungufuya mbele yako wazi mpaka namkumbuka hamisi kiiza wala sifichi..kinachoonekana awachezi kitimu mpira ukimfikia haruna akigawa mbele kila mtu anawaza kufunga yeye..na si kwa ajili ya timu..mfn tambwe jana kuna.mpira angetoa pasi tungekuwa na bao 4+..mbaya akawa anapiga hata hivyo aliishia kupaisha mipira..nahisi nextym waanze na ngoma...ngoma ana madhaifuyake lakini goli.i ana concrtrate

YANGA DAIMA
 
Wanayanga hatuna ushabiki wa msisimko wala hatuna papara,yawezekana ukawa c mfuasi mzuri
 
All.n.all Yangaaa oyeeeee

Azam lazima akae ngoja tuwait...
 
Daah kweli jamani wafungaji ni sifuri, daah!! Yaani Jana nilipoteza tu muda kuangalia ile mechi yanga walipata NAFASI nyingi sana za kufunga walitakiwa wafunge goli km 5-7
 
Timu ina wachezaji wageni wengi, tuwape muda wa kuzoeana ndipo tutajua ni wazuri au makapi
 
Hujui mpira kabisa mtoa mada coz umechanganya mambo mengi nahisi umekopi mahali
 
Kwanza si kweeli Bbarca walimuuza Zlatan kwa PSG,ukweli nni kuwa Zlatanaliuzwa kwa Ac Milan. Kuhusu wachezaji wa kigeni, uweppo wao kuna faida kubwa na mja ni hii, inawafanya waachezajiwzawa, kuujituma na kupambana ili kupata namba, a kuacha kubweteka. seaon iliyopita tuliona jinsi Msuva na Ngassa, walivyopambana, mpaka kujihakikishia namba kwenye kikozi. Mashindano haya, utaona Busungu, anavyopambana ili apate namba,au huyu dogo to Mbeya, aavopambana ili kuupata namba. Faida, ni kubwa mno, kutokufunga, bahati mbaya, umbuka hii timuu, achezaji mbele wengi wapya hawajazoe kucheza pamoja. Tumpe muda kocha aijenge timu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…