Yanga: Mmeokota wapi hawa mafowadi?

Yanga: Mmeokota wapi hawa mafowadi?

Hm niliwambia unafiki umewazidi wako kimaslahi..yulekocha viongozi wanamsumbua wakamfanya dalali kma maximo ajui yanga ina yenyewe ..ataondoka kama maximo ama sababu muda wa uongozi unaisha...

Ngoma dola 100"000
 
watanzania watu wa ajabu hujifanya kila kitu wanajua wakati hakuna lolote na ndio maana hatuendelei

Afu wanao jifanya wanajua kama Wakimataifa1 hawajui kitu, Full mburura hata UMITASHUMITA wao walikuwa kazi yao ni kutuchangia sisi!!


Hata timu ya darasa, wala shule hakuwahi kushiriki full kubeba jezi tu!!
 
Last edited by a moderator:
Mkuu kweli, hawa wachezaji wa Yanga wanaokotwa tu.
Ukimchukua yule Ngoma cjui Mdundiko na Ame Ally, Ame anabaki kuwa moto.
 
Yanga majanga matupu yaani kama ccm tu
 
Back
Top Bottom