Pdidy JF-Expert Member Joined Nov 22, 2007 Posts 57,951 Reaction score 32,619 Jul 31, 2015 #61 Hm niliwambia unafiki umewazidi wako kimaslahi..yulekocha viongozi wanamsumbua wakamfanya dalali kma maximo ajui yanga ina yenyewe ..ataondoka kama maximo ama sababu muda wa uongozi unaisha... Ngoma dola 100"000
Hm niliwambia unafiki umewazidi wako kimaslahi..yulekocha viongozi wanamsumbua wakamfanya dalali kma maximo ajui yanga ina yenyewe ..ataondoka kama maximo ama sababu muda wa uongozi unaisha... Ngoma dola 100"000
Enzymes JF-Expert Member Joined Feb 14, 2013 Posts 4,332 Reaction score 3,013 Jul 31, 2015 Thread starter #62 Wakimataifa1 said: watanzania watu wa ajabu hujifanya kila kitu wanajua wakati hakuna lolote na ndio maana hatuendelei Click to expand... Afu wanao jifanya wanajua kama Wakimataifa1 hawajui kitu, Full mburura hata UMITASHUMITA wao walikuwa kazi yao ni kutuchangia sisi!! Hata timu ya darasa, wala shule hakuwahi kushiriki full kubeba jezi tu!! Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Wakimataifa1 said: watanzania watu wa ajabu hujifanya kila kitu wanajua wakati hakuna lolote na ndio maana hatuendelei Click to expand... Afu wanao jifanya wanajua kama Wakimataifa1 hawajui kitu, Full mburura hata UMITASHUMITA wao walikuwa kazi yao ni kutuchangia sisi!! Hata timu ya darasa, wala shule hakuwahi kushiriki full kubeba jezi tu!!
Afande Nyati JF-Expert Member Joined Nov 10, 2012 Posts 2,385 Reaction score 1,414 Aug 2, 2015 #63 Mkuu kweli, hawa wachezaji wa Yanga wanaokotwa tu. Ukimchukua yule Ngoma cjui Mdundiko na Ame Ally, Ame anabaki kuwa moto.
Mkuu kweli, hawa wachezaji wa Yanga wanaokotwa tu. Ukimchukua yule Ngoma cjui Mdundiko na Ame Ally, Ame anabaki kuwa moto.
Kigogo JF-Expert Member Joined Dec 14, 2007 Posts 20,508 Reaction score 6,183 Aug 2, 2015 #64 Yanga majanga matupu yaani kama ccm tu