Yanga mmetoa kafara gani kupata ushindi huu?

SAYVILLE

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2010
Posts
7,895
Reaction score
12,975
Tukubali tu Yanga hamna hulka ya kushinda mechi ngumu kama hizi. Nilisikia mmepeleka wazee kadhaa huko kuongeza nguvu.

Swali langu, ni damu gani mmemwaga kupata ushindi huu?
 
Hakuna
Tukubali tu Yanga hamna hulka ya kushinda mechi ngumu kama hizi. Nilisikia mmepeleka wazee kadhaa huko kuongeza nguvu.

Swali langu, ni damu gani mmemwaha kupata ushindi huu?
Hakuna Cha kafara hayo tumewaachia🦁
 
Tutafanyaje sasa na wew ni mwana jf kama sisi ngoja tu tusome uharo ulioandika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…