Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 21,470
- 40,593
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Siku hizi mafanikio yenu yamehamia kwenye kufunga magoli mengi, huku pointi zikibakia kuwa zilezile! Na mkiendelea pia kubakia nafasi ile ile ya pili!
Kuna kushindwa na kuna kushindwa kwa heshima. Tupo nafasi ya pili kutokana na kuanza ligi tukitoa sare nyingi. Halafu sisi hatukamii kama nyie!!Siku hizi mafanikio yenu yamehamia kwenye kufunga magoli mengi, huku pointi zikibakia kuwa zilezile! Na mkiendelea pia kubakia nafasi ile ile ya pili!
Mpira ni takwimu,ingependeza Zaid ungeweka na idad ya mechi alizocheza mayele na alizocheza phiri.Mimi mpaka muda huu ninachofahamu Yanga ndiye Bingwa mtetezi wa Ligi kuu! Na pia atakuwa Bingwa wa AZFC, kwa mara ya pili mfululizo!
Matarajio yangu mpaka sasa; Mfungaji bora atakuwa ni Fiston Mayele! Golikipa bora ni Diarra! Kiungo bora ni Bangala! Kocha bora wa ligi kuu msimu huu ni Profesa Nabi!!
Na wakati timu ikiendelea kung'ara kwenye ligi ya ndani, na Kimatafa pia Yanga ni habari ya mjini. Na hii ni baada ya kumfunga goli 3-1 Tp Mazembe; timu yenye historia kubwa kwenye soka la Afrika.
Mungu awape nini Young Africans, aka Wananchi!!
Hiyo Simba inayofunga magoli mengi; mchezaji wake mwenye magoli mengi ni Moses Phiri (magoli 10)!! Yanga inayofunga magoli machache; mchezaji wake Fiston Kalala Mayele anaongoza kwenye orodha ya wafungaji bora, na magoli yake 15!
Kwani mwaka Jana ulikuwa klabu bingwa? Si ulitolewa ukaangukia shirikiso acha ujuaji..[emoji3][emoji3]Kwa ivo kila mwaka Simba inapewa njia nyepesi!!??
Wakati huo Yanga walikuwa wanashiriki nini?? Au kuwa umesahau wao wafrushwa mapema tu hata hatua ya makundi hawakunusa!!Kwani mwaka Jana ulikuwa klabu bingwa? Si ulitolewa ukaangukia shirikiso acha ujuaji..[emoji3][emoji3]
Sasa unafikiri ilikuwaje Hadi ukaangukia shirikiso?Wakati huo Yanga walikuwa wanashiriki nini?? Au kuwa umesahau wao wafrushwa mapema tu hata hatua ya makundi hawakunusa!!
Tukutane baada ya Jumamosi!!Soka ndivyo lilivyo...