Yanga mna Juhudi, ombeni mpewe majaaliwa!

Tate Mkuu utopolo itakuua wewe. Nyumba ya udongo yake chokaa marumaru unajisumbua tu!!

πŸ˜… πŸ˜…
Siku hizi mafanikio yenu yamehamia kwenye kufunga magoli mengi, huku pointi zikibakia kuwa zilezile! Na mkiendelea pia kubakia nafasi ile ile ya pili!
 
Siku hizi mafanikio yenu yamehamia kwenye kufunga magoli mengi, huku pointi zikibakia kuwa zilezile! Na mkiendelea pia kubakia nafasi ile ile ya pili!
Kuna kushindwa na kuna kushindwa kwa heshima. Tupo nafasi ya pili kutokana na kuanza ligi tukitoa sare nyingi. Halafu sisi hatukamii kama nyie!!

Tulishatengeneza njia hata tukiwa wa pili Mwakani tunashiriki tena ligi ya Mabingwa!!
 
Mpira ni takwimu,ingependeza Zaid ungeweka na idad ya mechi alizocheza mayele na alizocheza phiri.
Kiukwel mashabik wa yanga mnatia was was sana mna mahaba na timu yenu had mmepitiliza.
Alafu akil za Wana yanga zinashabiana sana ,Kuna kitu hakipo sawa Kwa nyie Wana yanga .
Hata tukiwa sehemu tukichek mpira ukijumuika na hawa viumbe ni shida.
Kwanza ni wabish balaa ,hata kitu kikiwa waz watagoma kuwa sio kwel.
Nyie watu ni hatar Kwa kuponda wachezaj wa Simba mara chama ni wakawaida huku viongoz wenu wanataman hata kesho chama awe mwanajangwani .
Mara chama hamfikii Aziz k,mara kaikwenda .ukirud Kwa Wana Simba ni watu wanaokubal waz km mchezaj wa yanga fund tena bila hiyana .mfano mayele ,bangala,diarra,lomalisa, fans wa Simba huwa wanawasifia wazwaz.
Yanga Sasa kipind konde boy tupo nae mlikua mnasema ni WA kawaida sana yaan kwakifup hamuwezag kabisa kukubal kitu chochote Cha Simba.
Utafikir mmezaliwa mama mmoja
 
Kwani mwaka Jana ulikuwa klabu bingwa? Si ulitolewa ukaangukia shirikiso acha ujuaji..[emoji3][emoji3]
Wakati huo Yanga walikuwa wanashiriki nini?? Au kuwa umesahau wao wafrushwa mapema tu hata hatua ya makundi hawakunusa!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…