Ni vema tukawekana sana juu ya Mchezaji wa Marudio wa Fainal kati ya YANGA VS USM Algeria.
YANGA kuifunga USM ni ndogo ya Mchana najua wapo watakaopinga lakini ukweli utabaki palepale.Ushindi wa YANGA ni Asilimia 30 tu.
Mchezo huo utakuwa sawa na kugombania Tonge mdomoni .FIGISU FIGISU aa kufa mtu zitafanywa na USM
Kadi nyekundu kwa Mayele ya bila KOSA itakoka. Offside kwa YANGA zitatawala Mchezo Ili mradi USM abebe KOMBE
Mwisho tuwakumbuke WAHENGA walisema.
"MCHEZA KWAO HUTUNZWA" Ndio maana nasema YANGA Watarudi na MEDALI TU.